Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Mkwe kunywa taratibu naleta maandazi soon.
Mkwe napenda yale yenye hiliki na nazi...😊😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkwe kunywa taratibu naleta maandazi soon.
Nakusogezea kabisa, ushindwe mwenyewe🤣Naomba na chapati mbili.....
Hata kama zimebakia dakika chache sana kabla ya ndoa kufungwa, ukigundua mwenzake hakufai basi piga chini hapo hapo. Hakuna kumuhurumia mtu, kila mtu apambane na hali yake.
Jamaa kasema oeni kwenu hamsikii
Ongezea na maharagwe na soda uipendayo ntakulipia🤣🤣🤣Naomba na chapati mbili.....
Daktari alijiongeza akapima na ambavyo hajatumwaYaani sijaelewa...
Daktari anapima HIV halafu majibu yanatoka ya HIV na Preginancy!!!
Bora ata iyo...lakini mzigo wa mtu mkuu siyo mchezo.Wenza karibu wote hawafaani..kama mimi siku nafunga ndoa nilikua nimenuniana na mke wangu..yani tena full kukorofishana..na hii inatokea kwa wengi tu..
Nilikua nna gari yangu nakodisha maharusi,weekend nlikua naendesha mwenyewe niliona couples nyingi sana zinazinguana sana siku ya harusi..na wanaonesha tu..
Daktari alijiongeza akapima na ambavyo hajatumwa
Ili tusibambikwe mimba?😂Jamaa kasema oeni kwenu hamsikii
Ndiyo coz kosa siyo la jamaaIvi itaweza kurudi kweli?