Waachana siku tatu kabla ya ndoa

Yaani sijaelewa...

Daktari anapima HIV halafu majibu yanatoka ya HIV na Preginancy!!!
Aaah we nawe, sio mpk nieleze vyote. Fupi fupi ivyo ivyo utaelewa tu 😆😆... Daktari km mtu mjamzito anaelewa bhn, kwani si walienda pima magonjwa yote km wako safi?. Maana baba mkwe aligoma mwanae asiolewe mpk wapime miili yao. Hii sio chai mkuu, imetokea siku chache tu zilizopita...Yani sare niliyonunua nitaivaa tu wkt mwengine.
 

☺️☺️
 
Kumekucha huko
Dah ila inaumiza
Inaumiza Sana. Yani nikimuona bwana harusi namuonea huruma gharama zote zile alizotoa kwa yule Binti alafu mwsho wa siku anakuja kulipwa na mzigo wa mtu wa miez 2
 
Ooooooh, jamani, mbona inasikitisha,
𝒘𝒉𝒚 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒘𝒂𝒌𝒆 𝒘𝒂 𝒔𝒊𝒌𝒖 𝒉𝒊𝒛𝒊 𝒎𝒏𝒂𝒕𝒖𝒇𝒂𝒏𝒚𝒊𝒂 𝒉𝒊𝒗𝒊,
𝐡𝐢𝐯𝐢 𝐤𝐮𝐧𝐚𝐰𝐚𝐧𝐚𝐰𝐚𝐤𝐞 𝐡𝐮𝐦𝐮 𝐣𝐟𝐦 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐢𝐣𝐢𝐛𝐮,
𝐦𝐛𝐨𝐧𝐚 𝐦𝐧𝐚𝐭𝐮𝐤𝐚𝐭𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐭𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐬𝐢𝐬𝐢 𝐰𝐚𝐨𝐚𝐣𝐢 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐧𝐢
 

Neno “pumbavu” ni vey applicable kwa mazingira kama hayo!
 
Inaonesha jinsi gani wabongo hatuna ufahamu mkubwa wa haya mambo ya uzazi .

Watu wengi naona mnajua kipimo ni kimoja tu cha mkojo, kumbe kuna kipimo kikubwa cha damu ambacho hichi sasa kinaweza kugundua hata kiwango kidogo sana cha HCG ( human chorionic gonadotrophins) na hivi vya damu ndo vina highest accuracy kuliko vya rapid (vile vya mkojo) .
 
Kwahiyo siku hizi ukienda hospital kupima HIV wanakupima na mimba?
 
Hata kama zimebakia dakika chache sana kabla ya ndoa kufungwa, ukigundua mwenzake hakufai basi piga chini hapo hapo. Hakuna kumuhurumia mtu, kila mtu apambane na hali yake.
Binti anatishia kujiua, anasema bado anampenda. Eti aliteleza tu
Hata kama zimebakia dakika chache sana kabla ya ndoa kufungwa, ukigundua mwenzake hakufai basi piga chini hapo hapo. Hakuna kumuhurumia mtu, kila mtu apambane na hali yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…