Waachana siku tatu kabla ya ndoa

Waachana siku tatu kabla ya ndoa

Wanajukwaa, hii kitu imetokea uku kwetu mtaani, mahusiano yavunjika siku chache kabla ya kufungishwa ndoa... Jamaa na bibie wanafanya Kazi mikoa tofauti, sasa wamerudi Ili wafunge ndoa takatifu Ili wawe rasmi, mke na mume. Sasa ndugu wa mke wakamuuliza bibie, vipi mmeshapima HIV na mumeo mtarajiwa?. ..Binti akajibu hapana.

Itabidi waitwe Mume mtarajiwa na mke mtarajiwa, Ili wapelekwe kupima, maana baba mkwe aligoma mwanae asiolewe mpk wote wajue afya zao. Apo ikumbukwe mahali ilishatolewa ya kutosha, cash. Upande wa mme washanunua kila kítu cha shughuli, washakodi ukumbi, washafanya maandalizi yote, sare ishatembezwa na majirani kualikwa.

Baada ya kufika hospitali, wakachukuliwa vipimo, na majibu yalipotoka....wote mambo ni safiiiiii kbs...familia ikafurahi. Asa Dkt akasema "aah hongera bhana maana umeshaweka kitu tumboni muda si mrefu utaitwa baba, mchumba ana mimba mIEzI ". Jamaa alitoa macho hatari, unasemaje?. Itabd ndugu waulize kwani mzigo sio wako baba?. Jamaa akasema muulizeni mtoto wenu aseme iyo mimba ni ya nani, maana mimi nna miez nae 6 sijawah shiriki nae tendo, na ata baada ya kurudi apa, mtt wenu alinilazimisha sana twende tukafanye tendo lkn Mimi niligoma katakata nikamwambia tusuburie ndoa ipite bs tutafanya kwa uhuru. Binti akasema ni kweli mimba siyo ya jamaa, akaanza lia aliomba msamaha eti bd anampenda mumewe mtarajiwa.

Yani mpk ss binti anatishia kujiua, ndoa jamaa kaikataa, Yani mihela yote ile imepotea. Nimejisikia vby kwa kweli , Dunia hii usiombe likukute jambo kama hili. Ama kweli usaliti mbaya. Ingawa wengine wanamshauri eti amuoe ivyo ivyo atakwenda kulea mimba na mtoto awe wake.

queenbaby am sorry waweza kunisaidia mawasiliano yyte ya mmojawapo au hata ya kwako niweze kufanya nao kipindi..mm ni mtangazaj samahn lkn kama hutojal
 
Chai ya moto sana hii
 
Ukiwa mbali na mkeo au mpenzi wako basi jua hapo mzee wanakupigia kinoma wahuni.Mwanamke ni ngumu kuhimili mitego ya wanaume jamani.hata akudanganye vipi we jua watu wanamgalagaza vya kutosha
[emoji16][emoji16] ndo mana mahusiano ya mbali ni mtihani kwa kweli
 
queenbaby am sorry waweza kunisaidia mawasiliano yyte ya mmojawapo au hata ya kwako niweze kufanya nao kipindi..mm ni mtangazaj samahn lkn kama hutojal
Kufa kufaana ndio hii
 
Piga chini hiyo mtu.
Jamaa amahukuru Mungu kamuonesha mkewe ni mtu wa namna gani, lakini pia amshukuru dkt ikiwezekana sherehe isiahirishwe ila afurahie uwepo wa Mungu kumuepushia dhahama.

Hata kama ikitokea mko pale kanisani mnaapa ukaona pasi na shaka mwenzi wako hakufai, mwambie anaewafungisha apoe kwanza ushaahirisha.
Yani mpk ndugu wa Mume wanasononeka.... Asa mi nikajiuliza hivi huyu kweli hakuwa na reserve jamn?...... maandaliz yote ayo angetafuta mke mwengine akamuoa fasta [emoji38][emoji38]
 
Ukiwa mbali na mkeo au mpenzi wako basi jua hapo mzee wanakupigia kinoma wahuni.Mwanamke ni ngumu kuhimili mitego ya wanaume jamani.hata akudanganye vipi we jua watu wanamgalagaza vya kutosha
Huo ndio ukweli kabisa...yaani lazima wakugegedee tuu mrembo wako la msingi ni kwamba hainaga makombo🤣🤣🤣🤣
 
Inakera sana baba mkwe alijifanya mjanja kumbe mwanae malaya mashavu yote ya chini yamelegea kwa mitulinga hapo kwa hasira angempeleka hotel akamvunje duka tu kama na iwe mbwai na iwe mbwai
[emoji16] baba mkwe alijidai mtu wa dini.... Mwanae haolewi mpk vipimo. Lbd alihisi mwanaume atakuwa ni mtu wa kuhanja hanja Sana, kumbe hakujua mtt wake ndio mama lao [emoji28][emoji28]
 
Kuna binti nilijiroga kuwa nae alikuja na mipesa mingi sana,alikua x wangu tulikua pamoja toka yuko secondary.tukaachana kila mtu kashika yake.
Ghafla akaja home yuko njema sana.
Nikimuuliza hela umetoa wapi ananifix kwamba anapiga deal za Tanzanite.
Tukarudiana fuko zima la hela kakabidhi.
Piga sana mechi
Badae binti kataka tukae pamoja.
Kumbe ni mchumba wa mtu.
Meneja mmoja wa Hotel kubwa enzi hizo.
Ndio anachukua mikopo anakabidhi kwa mkewe mtarajiwa.
Nikashughulikia kila kitu tukaanza ishi wote.
Kumbe mtaani kuna kijana anamfahamu maana walifanya wote kazi nae huko meneja alipo.
Sasa jamaa analoloma kazini.
'Mchumba wangu simwelewi"
Yupi?
"Si huyu alikuwepo hapa"
Sasa huyu dogo anamuona mtaani kila siku,na mkewe huyo dogo walikua mashoga na huyu demu wangu.
Dogo kamvuta jamaa pembeni kamweleza kila kitu.
Demu anaenda anaaga anafwata mauzo ya madini kumbe anachukua mshiko kwa jamaa.
Bana yule dogo akamleta jamaa mpaka home kamwonyesha wanakaa mule.
Duh .
Mwenye mchumba kaja kufumania asb sa 12.
Mi narudi(nilikua night club hapo mbowe)ndo nakuta majirani wanaondoka.
Nauliza vp wanasema mkeo alikua mchumba wa mtu.
Kamchukua wakayamalize kwa wazazi.
Nikawa nimetoa macho.
Badae nimeenda kwao mdogo wake ndio akanihakikishia kila kitu.
Nikapiga chini.
Demu karudi jioni anazuga hamna kilichotokea.
Alipata cm ya ghafla akaenda kwao kufix.
Nikamsimulia kila kitu na nikafukuzilia mbali.
Jamaa akaja siku ya pili tukaongea yakaisha.
Kumbuka hapo demu ana mimba yangu na jamaa kamwambia mimba yake.
Jamaa mpk tar ya mimba kaandika😂😂😂.
Mi ikabidi nimwambie tu mimba yako bana we lea.
Bahati mbaya miezi 4-5 nikaajiriwa kwenye kampuni moja na jamaa
Kwahiyo kila siku tunaonana kupeana majukumu.
Binti nae anakuja kuchukua matumizi naachiwa na jamaa nimpe.
Mtoto kashazaliwa anakua.
Jamaa kumbe anaangalia anamwangalia mtoto anaona hapa nimepigwa na chuma kizito.
Siku hiyo demu yuko pale ofisini kafata matumizi.
Jamaa alimtosa palepale.
Mi naona na akasema kabisa e bwana mwanao huyu muhudumie.
Ndio demu likaanza kulialia pale kujigalagaza kwangu na kusema ukweli kwamba ni kweli kwa huyo jamaa nilidanganya huyu mtoto wako.
Nilichojibu ni kwamba vizuri kujua .
Ila kwa sasa kapumzike kwanza.
Hatujaonana tena mpk leo.
 
Mimi ninachojua siku hizi mkitaka kufunga ndoa kwa upande wa wakristo Kuna baadhi ya madhehebu ni lazima mpime afya Mara nyingi HIV + UPt na vingine mtakavyoambiwa,Kuna rafiki yangu Naye ilimkuta mwaka 2016 walikua mwishoni kabisa kwenye maandalizi ya ndoa walivyoenda kupima binti akakutwa mjamzito na walikua hawajawahi kukutana kimwili alitafutiwa mchumba na wazazi wake kwa kigezo kwamba ni binti aliyekulia kwenye maadili ya dini.aisee huyo Kaka alichanganyikiwa mpaka leo hajaoa.
 
Yani mpk ndugu wa Mume wanasononeka.... Asa mi nikajiuliza hivi huyu kweli hakuwa na reserve jamn?...... maandaliz yote ayo angetafuta mke mwengine akamuoa fasta [emoji38][emoji38]
Vizuri umetambua umuhimu wa mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja.....kidume lazima uwe na wanawake watatu at any given point ndio hutapata stress za mapenzi
 
Wanajukwaa, hii kitu imetokea uku kwetu mtaani, mahusiano yavunjika siku chache kabla ya kufungishwa ndoa... Jamaa na bibie wanafanya Kazi mikoa tofauti, sasa wamerudi Ili wafunge ndoa takatifu Ili wawe rasmi, mke na mume. Sasa ndugu wa mke wakamuuliza bibie, vipi mmeshapima HIV na mumeo mtarajiwa?. ..Binti akajibu hapana.

Itabidi waitwe Mume mtarajiwa na mke mtarajiwa, Ili wapelekwe kupima, maana baba mkwe aligoma mwanae asiolewe mpk wote wajue afya zao. Apo ikumbukwe mahali ilishatolewa ya kutosha, cash. Upande wa mme washanunua kila kítu cha shughuli, washakodi ukumbi, washafanya maandalizi yote, sare ishatembezwa na majirani kualikwa.

Baada ya kufika hospitali, wakachukuliwa vipimo, na majibu yalipotoka....wote mambo ni safiiiiii kbs...familia ikafurahi. Asa Dkt akasema "aah hongera bhana maana umeshaweka kitu tumboni muda si mrefu utaitwa baba, mchumba ana mimba mIEzI ". Jamaa alitoa macho hatari, unasemaje?. Itabd ndugu waulize kwani mzigo sio wako baba?. Jamaa akasema muulizeni mtoto wenu aseme iyo mimba ni ya nani, maana mimi nna miez nae 6 sijawah shiriki nae tendo, na ata baada ya kurudi apa, mtt wenu alinilazimisha sana twende tukafanye tendo lkn Mimi niligoma katakata nikamwambia tusuburie ndoa ipite bs tutafanya kwa uhuru. Binti akasema ni kweli mimba siyo ya jamaa, akaanza lia aliomba msamaha eti bd anampenda mumewe mtarajiwa.

Yani mpk ss binti anatishia kujiua, ndoa jamaa kaikataa, Yani mihela yote ile imepotea. Nimejisikia vby kwa kweli , Dunia hii usiombe likukute jambo kama hili. Ama kweli usaliti mbaya. Ingawa wengine wanamshauri eti amuoe ivyo ivyo atakwenda kulea mimba na mtoto awe wake.
Mimi ni mzazi na bibi angekuwa na mtoto tayari mme angekubali kumlea lakini mimba? Hatari
 
Inaonesha jinsi gani wabongo hatuna ufahamu mkubwa wa haya mambo ya uzazi .

Watu wengi naona mnajua kipimo ni kimoja tu cha mkojo, kumbe kuna kipimo kikubwa cha damu ambacho hichi sasa kinaweza kugundua hata kiwango kidogo sana cha HCG ( human chorionic gonadotrophins) na hivi vya damu ndo vina highest accuracy kuliko vya rapid (vile vya mkojo) .
Nadhani wamekuelewa
 
Back
Top Bottom