Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
Atajilaumu kiherehere chake,mapenzi ya mbali ni changamotoAhahaha baba mkwe kajiponza mwenyewe...Hakujua kwamba mtt wake ameyavurunda tayari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atajilaumu kiherehere chake,mapenzi ya mbali ni changamotoAhahaha baba mkwe kajiponza mwenyewe...Hakujua kwamba mtt wake ameyavurunda tayari.
Utapoteza Identity yako,watu watajua ni ww kumbe siyo.Nipe sababu ya msingi ya mimi kuchukua hatua
Nina hati miliki ya jina?
Uko sawa na inaweza kuwa sio okay kwangu yeye kuna na ID inayofanana sana na yanguUtapoteza Identity yako,watu watajua ni ww kumbe siyo.
Halafu ujue humu pamoja na kutoonana lakini tumekuwa marafiki na ndugu.Inachanganya ID zikifanana sn kama hivyo .Pia aweza kuwa na comments za ajabu ajabu tukadhani ni wewe kumbe laah!hasa kwa mtu ambaye hajagundua kuna utofauti kidogo wa ID zenu.
Kama umeona ni sawa it is ok.
Ndoa ni kamali, anaweza kumuoa huyo na akaishi naye vema japo kila mda akikumbuka lazima roho itaumia, kama anataka kula na appetite yote inakata.
Issue hiyo aliweza Joseph tu na yeye ilibidi Mungu aingilie kati lasivyo alikuwa ameshamkataa Maria. It needs God’s intervention.
Binafsi nisingeweza kufunga ndoa naye maana najifahamu mwenyewe. Namshukuru sana aliyenipatia mke ambaye bado ni bikira.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni dk mpumbavu pia atakayempima mimba mwanamke ambaye ni mchumba wa mtu na mwanaume wake yupo hapo[emoji28]na hawajaomba hiyo huduma
hii kitaalamu tunaita pregnanti positivu
Tatizo wanawake wanajikuta wanajua kutunza siri...mbunye ale mwingine, gharama ale mwingine na wote unawataka...puuzi sana huyo dem tamaa tuWanajukwaa, hii kitu imetokea uku kwetu mtaani, mahusiano yavunjika siku chache kabla ya kufungishwa ndoa... Jamaa na bibie wanafanya Kazi mikoa tofauti, sasa wamerudi Ili wafunge ndoa takatifu Ili wawe rasmi, mke na mume. Sasa ndugu wa mke wakamuuliza bibie, vipi mmeshapima HIV na mumeo mtarajiwa?. ..Binti akajibu hapana.
Itabidi waitwe Mume mtarajiwa na mke mtarajiwa, Ili wapelekwe kupima, maana baba mkwe aligoma mwanae asiolewe mpk wote wajue afya zao. Apo ikumbukwe mahali ilishatolewa ya kutosha, cash. Upande wa mme washanunua kila kítu cha shughuli, washakodi ukumbi, washafanya maandalizi yote, sare ishatembezwa na majirani kualikwa.
Baada ya kufika hospitali, wakachukuliwa vipimo, na majibu yalipotoka....wote mambo ni safiiiiii kbs...familia ikafurahi. Asa Dkt akasema "aah hongera bhana maana umeshaweka kitu tumboni muda si mrefu utaitwa baba, mchumba ana mimba mIEzI ". Jamaa alitoa macho hatari, unasemaje?. Itabd ndugu waulize kwani mzigo sio wako baba?. Jamaa akasema muulizeni mtoto wenu aseme iyo mimba ni ya nani, maana mimi nna miez nae 6 sijawah shiriki nae tendo, na ata baada ya kurudi apa, mtt wenu alinilazimisha sana twende tukafanye tendo lkn Mimi niligoma katakata nikamwambia tusuburie ndoa ipite bs tutafanya kwa uhuru. Binti akasema ni kweli mimba siyo ya jamaa, akaanza lia aliomba msamaha eti bd anampenda mumewe mtarajiwa.
Yani mpk ss binti anatishia kujiua, ndoa jamaa kaikataa, Yani mihela yote ile imepotea. Nimejisikia vby kwa kweli , Dunia hii usiombe likukute jambo kama hili. Ama kweli usaliti mbaya. Ingawa wengine wanamshauri eti amuoe ivyo ivyo atakwenda kulea mimba na mtoto awe wake.
Hahaha umenimaliza kabisa hahahaElewa hivyo hivyo bhana weweee
Hata kama chai ina chumvi...ivumilie,haiwezi kuku-kill
eeehYaani sijaelewa...
Daktari anapima HIV halafu majibu yanatoka ya HIV na Preginancy!!!
Bora amuoe huyohuyo mwenye mimba kuliko huyo wa fasta fasta.Yani mpk ndugu wa Mume wanasononeka.... Asa mi nikajiuliza hivi huyu kweli hakuwa na reserve jamn?...... maandaliz yote ayo angetafuta mke mwengine akamuoa fasta [emoji38][emoji38]
Kwa hyo jombii ngoma wanatumia sample ya mkojo kupata majibu?Aki sijui uko Dunia gani jombaa. Pole sn
mwenye mimba amuoe huyo binti kwa maandalizi hayohayo yaliofanyika yaani abadilishe tu bwana harusi vingine vyote vibaki constant.
Chai ilipoaanzia...Yaani sijaelewa...
Daktari anapima HIV halafu majibu yanatoka ya HIV na Preginancy!!!