Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Usaliti ni ile mimba, je huyo aliyeolewa ni muaminifu (alikua bikra)?MREJESHO
Tunashukuru bwana harusi hamempata Binti mwingine, na walifanikiwa kufunga ndoa salama salimini. Ila tu ndoa yao haikuwa na sherehe kubwa, Kwa sababu ya kuhairishwa Ile ndoa ya mara ya 1.... Yule bidada msaliti ameachwa kweupe peee. Nadhani ameshaonyesha aliyempa mimba.
Kwa Sasa bibi na bwana wameshaondoka kwenda anapofanyia Kazi mwanaume. Maana this time ameamua kuchagua yule ambaye hayuko na Kazi, nafikiri ataenda kumtafutia Cha kufanya uko uko anakofanyia Kazi.
USALITI MBAYA [emoji849][emoji18]
Nishafika hapa uko wap bibi harus wangu mtarajiwa😇🥰Bwana harusi jiijie kwangu huwezi kutana na hayo majanga
Etieee kafunika tu kombe mwanaharamu apite[emoji3][emoji3] hakuna mtakatifu hapa duniani. Ila Kwa mujibu wake ni sealed [emoji2362]
🤣🤣🤣🙌Nimeikumbuka story ya jamaa aliemuacha binti wakati wa mahalii.
Inahuzunisha sanaaa kuoa mtu asiyejua anataka ninii.
Binti atabaki tu kusema nimekose Mimi nimekosa mimi,nimekosa sanaaa...
Ahaaaa wewe sio kiwanja chenye mgogoro?Nishafika hapa uko wap bibi harus wangu mtarajiwa😇🥰
Aaaah wap mm ni kiwanja kama vile vilivopimwa na serikalAhaaaa wewe sio kiwanja chenye mgogoro?
Sijawahi kuona mtu anaenda pima ngoma anapewa na majibu ya HIV hii bila shaka ni kamba kama kamba nyingine.Wanajukwaa, hii kitu imetokea uku kwetu mtaani, mahusiano yavunjika siku chache kabla ya kufungishwa ndoa... Jamaa na bibie wanafanya Kazi mikoa tofauti, sasa wamerudi Ili wafunge ndoa takatifu Ili wawe rasmi, mke na mume. Sasa ndugu wa mke wakamuuliza bibie, vipi mmeshapima HIV na mumeo mtarajiwa?. ..Binti akajibu hapana.
Itabidi waitwe Mume mtarajiwa na mke mtarajiwa, Ili wapelekwe kupima, maana baba mkwe aligoma mwanae asiolewe mpk wote wajue afya zao. Apo ikumbukwe mahali ilishatolewa ya kutosha, cash. Upande wa mme washanunua kila kítu cha shughuli, washakodi ukumbi, washafanya maandalizi yote, sare ishatembezwa na majirani kualikwa.
Baada ya kufika hospitali, wakachukuliwa vipimo, na majibu yalipotoka....wote mambo ni safiiiiii kbs...familia ikafurahi. Asa Dkt akasema "aah hongera bhana maana umeshaweka kitu tumboni muda si mrefu utaitwa baba, mchumba ana mimba mIEzI ". Jamaa alitoa macho hatari, unasemaje?. Itabd ndugu waulize kwani mzigo sio wako baba?. Jamaa akasema muulizeni mtoto wenu aseme iyo mimba ni ya nani, maana mimi nna miez nae 6 sijawah shiriki nae tendo, na ata baada ya kurudi apa, mtt wenu alinilazimisha sana twende tukafanye tendo lkn Mimi niligoma katakata nikamwambia tusuburie ndoa ipite bs tutafanya kwa uhuru. Binti akasema ni kweli mimba siyo ya jamaa, akaanza lia aliomba msamaha eti bd anampenda mumewe mtarajiwa.
Yani mpk ss binti anatishia kujiua, ndoa jamaa kaikataa, Yani mihela yote ile imepotea. Nimejisikia vby kwa kweli , Dunia hii usiombe likukute jambo kama hili. Ama kweli usaliti mbaya. Ingawa wengine wanamshauri eti amuoe ivyo ivyo atakwenda kulea mimba na mtoto awe wake.
mwenye mimba amuoe huyo binti kwa maandalizi hayohayo yaliofanyika yaani abadilishe tu bwana harusi vingine vyote vibaki constant.
Kwani mimba ni ya mwanamke?Harusi si ya mwanaume labda sendoff
Nyie ndiyo wakamiaji wa harusi...yani mualikwa anapendeza kuliko wenye sherehe..tuna tu nguo yqko asee #joke[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aaah we nawe, sio mpk nieleze vyote. Fupi fupi ivyo ivyo utaelewa tu [emoji38][emoji38]... Daktari km mtu mjamzito anaelewa bhn, kwani si walienda pima magonjwa yote km wako safi?. Maana baba mkwe aligoma mwanae asiolewe mpk wapime miili yao. Hii sio chai mkuu, imetokea siku chache tu zilizopita...Yani sare niliyonunua nitaivaa tu wkt mwengine.
Ushauri wa kijinga kuwahi kutokeaWanajukwaa, hii kitu imetokea uku kwetu mtaani, mahusiano yavunjika siku chache kabla ya kufungishwa ndoa... Jamaa na bibie wanafanya Kazi mikoa tofauti, sasa wamerudi Ili wafunge ndoa takatifu Ili wawe rasmi, mke na mume. Sasa ndugu wa mke wakamuuliza bibie, vipi mmeshapima HIV na mumeo mtarajiwa?. ..Binti akajibu hapana.
Itabidi waitwe Mume mtarajiwa na mke mtarajiwa, Ili wapelekwe kupima, maana baba mkwe aligoma mwanae asiolewe mpk wote wajue afya zao. Apo ikumbukwe mahali ilishatolewa ya kutosha, cash. Upande wa mme washanunua kila kítu cha shughuli, washakodi ukumbi, washafanya maandalizi yote, sare ishatembezwa na majirani kualikwa.
Baada ya kufika hospitali, wakachukuliwa vipimo, na majibu yalipotoka....wote mambo ni safiiiiii kbs...familia ikafurahi. Asa Dkt akasema "aah hongera bhana maana umeshaweka kitu tumboni muda si mrefu utaitwa baba, mchumba ana mimba mIEzI ". Jamaa alitoa macho hatari, unasemaje?. Itabd ndugu waulize kwani mzigo sio wako baba?. Jamaa akasema muulizeni mtoto wenu aseme iyo mimba ni ya nani, maana mimi nna miez nae 6 sijawah shiriki nae tendo, na ata baada ya kurudi apa, mtt wenu alinilazimisha sana twende tukafanye tendo lkn Mimi niligoma katakata nikamwambia tusuburie ndoa ipite bs tutafanya kwa uhuru. Binti akasema ni kweli mimba siyo ya jamaa, akaanza lia aliomba msamaha eti bd anampenda mumewe mtarajiwa.
Yani mpk ss binti anatishia kujiua, ndoa jamaa kaikataa, Yani mihela yote ile imepotea. Nimejisikia vby kwa kweli , Dunia hii usiombe likukute jambo kama hili. Ama kweli usaliti mbaya. Ingawa wengine wanamshauri eti amuoe ivyo ivyo atakwenda kulea mimba na mtoto awe wake.
Kwa gharama za nani?mwenye mimba amuoe huyo binti kwa maandalizi hayohayo yaliofanyika yaani abadilishe tu bwana harusi vingine vyote vibaki constant.