Kama unalamba asali ni wwe umezaliwa mjini unalamba asali mji.Tembea nje mji uone ufukara wa watz.Hizi ulizoandika ni pumba tu kama unadhani Tanzania imesimama palepale tokea uhuru. Nisikulaumu pengine wewe umezaliwa baada ya mwaka 2000
Wanawafanya watz wawe masikini kupitia kodi na tozo plus vikwazo kibao vya kuinuka Ili waweze kuwatawalaSababu ya Madaraka. Hata hapa bongo ukikaza kiwaudhi wanaondoka na koromeo lako fastaa.
Wewe unashinda mtandaoni kulalamika maisha magumu, hao umaowaonea huruma huko vijijini wanakuzidi kipato.Kama unalamba asali ni wwe umezaliwa mjini unalamba asali mji.Tembea nje mji uone ufukara wa watz.
Ni aibu karne hii bado watz wanaishi kwenye nyasi
Na huu ndiyo ukweli mgumu!Shida ya Waafrika hatutaki tuongozwe na wenye akili tunataka wale tutakao kwiba pamoja🏃
Wewe unashinda mtandaoni kulalamika maisha magumu, hao umaowaonea huruma huko vijijini wanakuzidi kipato.
Kwann yawe magumu fursa zote hizi tele
Kwani uongo akina mwigulu wanaweza ongoza?Ungekuwa weye ndiyo kiongozi ungeupokea ushauri wako wa kijinga?
Huvi6 mbona una aliki kisoda hivyo. Alichokiandika hapo juu kwni ni uongo. Ungepinga kwa Hoja sio unaleta ushuzi wako hapaMkishakula makande na kuvuta bangi chooni mnaaamua tu kuandika mnachotaka. Sasa kama una elimu hata ya Sekondari imekusaidia nini?
Hapo ulipo unaamini kuwa nchi za Ulaya na America hazina matatizo?
Wewe mzee miaka 60 bado unajengewa choo halafu unatuambia tumepga hatua nyie maccm nyie wot si ni mafisi tu. Dubai wameanza kujenga Ile nchi miaka ya 70 Leo wako wapi. Nchi ambayo Ina graduater hata hawafik mil 3 unasema tumeendelea.Hizi ulizoandika ni pumba tu kama unadhani Tanzania imesimama palepale tokea uhuru. Nisikulaumu pengine wewe umezaliwa baada ya mwaka 2000
Ndo hapo kwanza somo la kilimo halipo mashuleni ni somo la option. Halafu hata hivyo hicho kiwanda ukitaka kukianzisha Cha moto utakiona. Kuna ofisi za serikali Zaid ya 15 uzione ndo utaratibu ukamilike. Na watunga sheria ni kama msukuma na kibajajiNdo ukweli wenyewe!
Haiwezekani tukimbilie maviwanda wakati ardhi hujaijaza mazao.Viongozi hawana vichwa!
Au tufanye kama walivyofanya waarabu wao sekta nyingi za uzalishaji wamewakabidhi foreigner ndio wanasimamia wao wanapokea tu asilimia zao na nchi zao zinaenda kwa maendeleo. Wanaoijenga emirates sio waarabu.
Walioijenga Korea kusini, Singapore, Malaysia, Taiwan, Hongkong, Japan ni foreigners. So sisi waafrika sio wa kwanza kutumia mfumo huu wa kuajiri foreigners kusimamia uchumi na maendeleo ya nchi na maendeleo yameonekana.
Kwa nini nchi kama Dubai iko Moja tu? Mbona Nako Ulaya wenye ku exist zaidi ya Karne na Karne mbona hawana Jiji kama Dubai?Wewe mzee miaka 60 bado unajengewa choo halafu unatuambia tumepga hatua nyie maccm nyie wot si ni mafisi tu. Dubai wameanza kujenga Ile nchi miaka ya 70 Leo wako wapi. Nchi ambayo Ina graduater hata hawafik mil 3 unasema tumeendelea.
Unapinga kwa hoja kama mtu amekuja na hoja. Huyu kwisha kaandika utumbo na anajibiwa kwa utumbo wake. Yaani mwafrika anatamani kutawaliwa na wazungu kweli? Hiyo ni akili au maviHuvi6 mbona una aliki kisoda hivyo. Alichokiandika hapo juu kwni ni uongo. Ungepinga kwa Hoja sio unaleta ushuzi wako hapa