Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Kama unalamba asali ni wwe umezaliwa mjini unalamba asali mji.Tembea nje mji uone ufukara wa watz.Hizi ulizoandika ni pumba tu kama unadhani Tanzania imesimama palepale tokea uhuru. Nisikulaumu pengine wewe umezaliwa baada ya mwaka 2000
Ni aibu karne hii bado watz wanaishi kwenye nyasi