Waafrika hatuwezi uongozi, tuwape wazungu nchi zetu watuongoze

Waafrika hatuwezi uongozi, tuwape wazungu nchi zetu watuongoze

Hizi ulizoandika ni pumba tu kama unadhani Tanzania imesimama palepale tokea uhuru. Nisikulaumu pengine wewe umezaliwa baada ya mwaka 2000
Kama unalamba asali ni wwe umezaliwa mjini unalamba asali mji.Tembea nje mji uone ufukara wa watz.
Ni aibu karne hii bado watz wanaishi kwenye nyasi
 
Sababu ya Madaraka. Hata hapa bongo ukikaza kiwaudhi wanaondoka na koromeo lako fastaa.
Wanawafanya watz wawe masikini kupitia kodi na tozo plus vikwazo kibao vya kuinuka Ili waweze kuwatawala
 
Kama unalamba asali ni wwe umezaliwa mjini unalamba asali mji.Tembea nje mji uone ufukara wa watz.
Ni aibu karne hii bado watz wanaishi kwenye nyasi
Wewe unashinda mtandaoni kulalamika maisha magumu, hao umaowaonea huruma huko vijijini wanakuzidi kipato.
 
Watawala wa kiafrica wamefunga ndoa na wachina kuwaibia waafrika
 
Mkishakula makande na kuvuta bangi chooni mnaaamua tu kuandika mnachotaka. Sasa kama una elimu hata ya Sekondari imekusaidia nini?

Hapo ulipo unaamini kuwa nchi za Ulaya na America hazina matatizo?
Huvi6 mbona una aliki kisoda hivyo. Alichokiandika hapo juu kwni ni uongo. Ungepinga kwa Hoja sio unaleta ushuzi wako hapa
 
Hizi ulizoandika ni pumba tu kama unadhani Tanzania imesimama palepale tokea uhuru. Nisikulaumu pengine wewe umezaliwa baada ya mwaka 2000
Wewe mzee miaka 60 bado unajengewa choo halafu unatuambia tumepga hatua nyie maccm nyie wot si ni mafisi tu. Dubai wameanza kujenga Ile nchi miaka ya 70 Leo wako wapi. Nchi ambayo Ina graduater hata hawafik mil 3 unasema tumeendelea.
 
Ndo ukweli wenyewe!
Haiwezekani tukimbilie maviwanda wakati ardhi hujaijaza mazao.Viongozi hawana vichwa!
Ndo hapo kwanza somo la kilimo halipo mashuleni ni somo la option. Halafu hata hivyo hicho kiwanda ukitaka kukianzisha Cha moto utakiona. Kuna ofisi za serikali Zaid ya 15 uzione ndo utaratibu ukamilike. Na watunga sheria ni kama msukuma na kibajaji
 
Au tufanye kama walivyofanya waarabu wao sekta nyingi za uzalishaji wamewakabidhi foreigner ndio wanasimamia wao wanapokea tu asilimia zao na nchi zao zinaenda kwa maendeleo. Wanaoijenga emirates sio waarabu.

Walioijenga Korea kusini, Singapore, Malaysia, Taiwan, Hongkong, Japan ni foreigners. So sisi waafrika sio wa kwanza kutumia mfumo huu wa kuajiri foreigners kusimamia uchumi na maendeleo ya nchi na maendeleo yameonekana.

Mkuu icho kitendo cha wao kuamua kuajiri foreigners ili wapate maendeleo kwa haraka ndio kinachowatofautisha wao na sisi, muafrika hata mwananchi wake awe na taaluma akiwa anatokana na chama pinzani tu basi hapewi nafasi achilia mbali kutafutwa mtu wa nje kupewa hiyo nafasi.

Waafrica wana laana.
 
Kiukweli niseme kwamba nchi nyingi za Kiafrika haziendelei siyo tu kwa sababu ya viongozi wake bali pia kwa sababu ya asili ya watu wake. Kumbuka hao viongozi wanatoka miongoni mwetu sisi raia. Naona tatizo la umaskini Afrika halijulikani hata na waafrika wenyewe kikubwa Zaidi tuzidi kutafiti tatizo ni nini.
 
Wewe mzee miaka 60 bado unajengewa choo halafu unatuambia tumepga hatua nyie maccm nyie wot si ni mafisi tu. Dubai wameanza kujenga Ile nchi miaka ya 70 Leo wako wapi. Nchi ambayo Ina graduater hata hawafik mil 3 unasema tumeendelea.
Kwa nini nchi kama Dubai iko Moja tu? Mbona Nako Ulaya wenye ku exist zaidi ya Karne na Karne mbona hawana Jiji kama Dubai?
 
Huvi6 mbona una aliki kisoda hivyo. Alichokiandika hapo juu kwni ni uongo. Ungepinga kwa Hoja sio unaleta ushuzi wako hapa
Unapinga kwa hoja kama mtu amekuja na hoja. Huyu kwisha kaandika utumbo na anajibiwa kwa utumbo wake. Yaani mwafrika anatamani kutawaliwa na wazungu kweli? Hiyo ni akili au mavi
 
Back
Top Bottom