Waafrika ni muda sasa wa kurudia kuabudu Mizimu yetu

Aliye andika kitabu cha mwanzo cha Biblia,

Alisimuliwa na Mungu au alikuwepo kipindi uumbaji unafanyika ili aweke rekodi za maandiko?

Kipindi mwandishi huyo anaanza kuandika "Hapo mwanzo" yeye mwandishi mwanzo wake ni upi?

Au Mungu huyo kipindi anaumba ulimwengu, aliumba kwanza mwandishi wa kurekodi uumbaji wake?

Kabla ya "Hapo mwanzo" Mungu huyo alikuwa wapi?

Na huko alikokuwa kulitoka wapi?

Mungu huyo Hawezi kutokea tu
Ghafla bin vuuuuh! From Nothing Akaanza uumbaji.
 
Andiko lilishushwa hamna alie andika
 
Ndio maana dunia imekua km jiko la gesi kwa mambo km haya mnayowaza nyie vibaraka wa shetani.
 
Sasa kwa nini mseme, mtu akitenda mabaya ni shetani?

Wakati unakiri kabisa Mungu huyo ameruhusu mabaya yawepo kwa sababu zake maalumu.

Nakwambia hivi [emoji116]

Mungu kama ameruhusu mabaya yawepo kwa sababu zake maalumu na uwezo wa kuumba Binadamu wema alikuwa nao ila hakufanya hivyo, Mungu huyo ni Mkatili sana.
 
Hahaha
Si unajua mwanangu mbegu bora kama baba yake. Mbegu safi na babu zangu hawakuwa watumwa wa wazungu. Ukipata mkwe babu yake alikuwa mtumwa ataharibu kizazi 😬😬😬😬
 
Andiko lilishushwa hamna alie andika
Yani andiko lishushwe halafu liwe na stori za waisraeli tu?

Mbona andiko hilo la Biblia halina Historia ya waafrika watanzania, wakenya, waganda, wanyarwanda, warundi, wasudani, wazambia, wasouth Afrika n.k

Yani Mungu huyo ni mbaguzi sana, Analetaje Biblia yenye Historia ya taifa moja tu la Israel.

Ilhali yeye ni Mungu, Muumbaji wa Mataifa yote?
 
Andiko lilishushwa hamna alie andika
Yani andiko lishushwe halafu liwe na stori za waisraeli tu?

Mbona andiko hilo la Biblia halina Historia ya waafrika watanzania, wakenya, waganda, wanyarwanda, warundi, wasudani, wazambia, wasouth Afrika n.k

Yani Mungu huyo ni mbaguzi sana, Analetaje Biblia yenye Historia ya taifa moja tu la Israel.

Ilhali yeye ni Mungu, Muumbaji wa Mataifa yote?
 
Ndio maana dunia imekua km jiko la gesi kwa mambo km haya mnayowaza nyie vibaraka wa shetani.
Shetani huyo aliwezaje kuwepo?

Ilhali Mungu mwenye nguvu na uwezo wa kumwangamiza anao na alikuwa nao?

Mungu mkamilifu, Aliumbaje Dunia yenye shetani?

Huoni kazi yake huyo Mungu ina Weakness?
 
Aliye andika kitabu cha mwanzo cha Biblia,

Alisimuliwa na Mungu au alikuwepo kipindi uumbaji unafanyika ili aweke rekodi za maandiko?
Kama unataka kujua habari za maandiko ya kitabu cha mwanzo, tafuta historia ya Musa na vitabu alivyoandika na namna alivyoviandika. Ila Haya ni masuala ya imani, iwapo huamini unapoteza muda wako.
Au Mungu huyo kipindi anaumba ulimwengu, aliumba kwanza mwandishi wa kurekodi uumbaji wake?
Hapo mwanzo MUNGU aliziumba mbingu na nchi halafu ndo mambo mengine yakafuata.
Kabla ya "Hapo mwanzo" Mungu huyo alikuwa wapi?
Hatujui alipokuwa, hajawahi kuweka wazi hilo katika maandiko ila iliandikwa yeye hana mwanzo wala mwisho. Haya ni masuala ya imani, kama huamini unajipotezea muda.
Na huko alikokuwa kulitoka wapi?
Haijawekwa wazi katika maandiko.
Mungu huyo Hawezi kutokea tu
Ghafla bin vuuuuh! From Nothing Akaanza uumbaji.
Kwani ww unaamini chanzo cha ulimwengu ni nini?
 
Sasa kwa nini mseme, mtu akitenda mabaya ni shetani?
Sababu Shetani a.k.a yake ni mabaya/uovu n.k
Wakati unakiri kabisa Mungu huyo ameruhusu mabaya yawepo kwa sababu zake maalumu.
Uwepo wa shetani ni MUNGU kauruhusu
Nakwambia hivi [emoji116]

Mungu kama ameruhusu mabaya yawepo kwa sababu zake maalumu na uwezo wa kuumba Binadamu wema alikuwa nao ila hakufanya hivyo, Mungu huyo ni Mkatili sana.
Hayo ni masuala yake, uumbaji ni wake, na yeye ndo anajua kwanini kaamua iwe hivyo.
 
Sababu Shetani a.k.a yake ni mabaya/uovu n.k

Uwepo wa shetani ni MUNGU kauruhusu

Hayo ni masuala yake, uumbaji ni wake, na yeye ndo anajua kwanini kaamua iwe hivyo.
Kama Mungu karuhusu uwepo wa shetani, Basi Mungu huyo ni Mkatili sana.
 
Sawa aliumba, Aliumba huku ana rekodi na kuandika kitabu cha mwanzo?

Au aliye andika kitabu cha "mwanzo" cha Biblia ni nani?

Au Mungu huyo alikuwa anaumba kidogo kisha ana pause, ana rekodi alicho umba kisha ana endelea? πŸ˜„
Hatujui alipokuwa, hajawahi kuweka wazi hilo katika maandiko ila iliandikwa yeye hana mwanzo wala mwisho. Haya ni masuala ya imani, kama huamini unajipotezea muda.
Aliye andika maandiko hayo ni nani?

Au ni Mungu mwenyewe alijiandika hana mwanzo wala mwisho kwenye maandiko hayo hayo?

Kwamba eti Mungu huyo anajieleza mwenyewe kwenye maandishi, Yani ana ji introduce himself...πŸ˜‚πŸ˜‚

Sawa na mtu anaye jitekenya na kujicheka mwenyewe.
Haijawekwa wazi katika maandiko.

Kwani ww unaamini chanzo cha ulimwengu ni nini?
Ulimwengu hauna Chanzo.
 
Shetani ni kiumbe chake, alikiumba na alijua kitakuja kuasi na kumshawishi binadamu aasi na hakukizuia.
Sasa si ndio nakwambia Mungu huyo ni Mkatili sana kwa kuumba kiumbe shetani.

Ambapo, Mungu alijua kwamba kitaleta uasi ila aka kiacha tu.
 
Sawa aliumba, Aliumba huku ana rekodi na kuandika kitabu cha mwanzo?

Au aliye andika kitabu cha "mwanzo" cha Biblia ni nani?

Au Mungu huyo alikuwa anaumba kidogo kisha ana pause, ana rekodi alicho umba kisha ana endelea? πŸ˜„
Maswali yako ni mepesi sana ila unadhani ni magumu sababu yanatoka kwa usiye na imani.

Huna imani sasa utajibiwa kwa imani ipi? Imani ya Ukristo ina majibu yake ya uumbaji, imani ya uislamu ina majibu yake na imani nyingine zote zina majibu yake. Wewe huna imani yoyote upo tu halafu unauliza maswali ya kiimani katika ujumla wake.
Aliye andika maandiko hayo ni nani?
Maandiko ya imani ipi? Kila imani ina maandiko yake.
Au ni Mungu mwenyewe alijiandika hana mwanzo wala mwisho kwenye maandiko hayo hayo?
Haya ni maandiko ya biblia kwa imani ya wakristo. Wewe unaamini katika biblia tuijadili?
Kwamba eti Mungu huyo anajieleza mwenyewe kwenye maandishi, Yani ana ji introduce himself...πŸ˜‚πŸ˜‚
Hueleweki, kwani Kujieleza mwenyewe ni jambo la ajabu?
Sawa na mtu anaye jitekenya na kujicheka mwenyewe.
Unapojieleza kwenye CV yako huwa unajitekenya na kucheka?
Ulimwengu hauna Chanzo.
Unaamini ulimwengu hauna chanzo ila unashangaa wanaoamini kuwa chanzo cha ulimwengu ni MUNGU asiye na chanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…