Waafrika tuache kulia lia kwa kukosa pesa. Tunaweza wote kuwa mabilionea

Mkuu,

Sijasema tuache ku struggle kutafuta ubilionea.

Ila inaonekana una tatizo na msingi la uelewa wa uchumi.

Ubilionea utakuwa hauna maana ikiwa kila mtu atakuwa bilionea.

Leo ubaiona bilioni kubwa kwa sababu si kila mtu anayo, kila mtu akiwa nayo bilioni utanunua chupa ya maji tu.

Kila mtu akiwa bilionea, bilioni itakuwa kama elfu kila mtu atatafuta mamia ya matrillioni.

Mbona huelewi somo dogo tu la uchumi?
Wewe pia naona huelewi mathematical economics.
Iko hivi: sisi ambao kwa sasa hatujaupata huo ubilionea, tukiupata, ina maana mabilionea wa sasa ni wazi watakuwa matrilionea. Sasa sioni hiyo inflation yako itatoka wapi.

Kwa sasa tunalia lia kwa sababu hata elfu hatuna. Tunalia lia kwa sababu hatujui hata kesho tutakula nini. Bilionea hawazi kesho atakula nini, anawaza kesho ataenda wapi kuspend pesa zake. Tukifikia stage hiyo ya kutowaza kesho tutakula nini, watu wote si tutakuwa na furaha? Hapo vipi, mkuu?
 
Wewe ukiupata ubilionea halafu chupa ya maji ikawa shilingi bilioni moja, huo ubilionea wako utakusaidia nini?

Si ndiyo hapo na wewe utaomba uupate utrilionea kama sasa hivi unavyoomba ubilionea?

Sasa tofauti ya wewe kuwa bilionea wakati chupa ya maji inauzwa bilioni moja, ukawa unatafuta utrilionea, na sasa hivi ulivyo thousandaire unayeomba kuwa bilionea ni ipi?

Umeelewa somo la inflation?

Umeelewa kuwa kila mtu akiwa bilionea bilioni itakuwa haina thamani utarudi kufukuzia next level kama unavyoufukuzia ubilionea sasa?
 
Inaonekana somo la uchumi ulilisoma juu juu sana.
Kusema kwamba wote tukiwa mabilionea kutakuwa na inflation sio sahihi moja kwa moja.

Ngoja nikuongezee maarifa: Inflation hutokea pesa inapochapishwa bila thamani halisi nyuma yake, au pale ambapo bidhaa na huduma ni chache lakini watu wana pesa nyingi. Tukiamua kusimamia vizuri uzalishaji, teknolojia, na rasilimali za Afrika, hata watu wote tukiwa mabilionea hakutakuwa na inflation isiyodhibitika.

Mataifa kama Marekani na China yana mabilionea wengi, lakini bado pesa zao zinadumu na uchumi unakua. Shida siyo watu kuwa mabilionea. Shida ni mifumo dhaifu ya kusimamia uchumi. Kwa hiyo badala ya kuogopa kuwa mabilionea kwa sababu ya inflation, tujitahidi kuunda mifumo thabiti ya kiuchumi inayowezesha utajiri na uzalishaji kwenda sambamba. Hapo vipi, mkuu
 
Wote tukiwa mabilionea, ni faida sana; hakuna atakayelia njaa. Hata siasa za kugombea ubungo zitakoma.
haiwezekan, mabilionea wanatakiwa kua wachache sana na wenye nguvu sana ndo maisha yataenda, ikitokea ata asilimia 2% ya tanzania nzima ni mabilionea uchumi unaporomoka wote tunaanza from 0
 
Asante kwa mchango wako, ila naomba kuhitilafiana nawe.
Dhana kwamba mabilionea lazima wawe wachache ili maisha yaende siyo kweli kisayansi. Uchumi hukua pale utajiri unapozunguka mikononi mwa watu wengi, si wachache. Ukiangalia historia ya mapinduzi ya viwanda Ulaya na Asia, kilicholeta nguvu siyo wachache kuwa matajiri, bali tabaka kubwa la watu walioweza kujenga viwanda, biashara na ajira. Ndiyo maana leo tunaona nchi kama Japan, Korea Kusini na Ujerumani, hazitegemei mabilionea wachache, bali idadi kubwa ya wananchi wenye kipato cha juu wanaoendesha uchumi. Hata tukisema 20% ya Waafrika wawe mabilionea, hiyo haitaangusha uchumi; bali itaongeza walipa kodi, wawekezaji na waajiri wapya. Kinyume chake, kuendelea kudhani lazima tuwe maskini wengi na mabilionea wachache ndiyo tunazidi kudumaza bara letu.
 
Inaonekana somo la uchumi ulilisoma juu juu sana.
Kusema kwamba wote tukiwa mabilionea kutakuwa na inflation sio sahihi moja kwa moja.

Ngoja nikuongezee maarifa: Inflation hutokea pesa inapochapishwa bila thamani halisi nyuma yake, au pale ambapo bidhaa na huduma ni chache lakini watu wana pesa nyingi. Tukiamua kusimamia vizuri uzalishaji, teknolojia, na rasilimali za Afrika, hata watu wote tukiwa mabilionea hakutakuwa na inflation isiyodhibitika.
Naona hauja muelewa Kiranga, thamani ya kitu ipo kwa kukosekana kwa wengine.

Kwanza elewa hatuwezi wote kuwa mabilionea, that's how the system of economic works.
Yaani lazima kuwe na demand and supply ya kitu husika ili ku balance mzani.

Mfano mdogo ni wote tuki tengeneza na kuuza kiberiti, nani ata nunua kwa mwenzie?.
Hii ita pelekea hasara, na kushusha thamani due to over supply and easy access ya kitu husika.

"That's why when you look to the list of those billionaires, uta notice wana produce au ku supply a product au service kwa namba kubwa ya watu wasio kuwa access ya kitu husika.

angalia google, je kila mtu angekuwa na search engine yake, nani ange hangaika kuitumia?
 
Mkuu, mfano wako wa kiberiti na search engine una mapungufu makubwa. Uchumi wa kisasa hauna kikomo cha sekta wala bidhaa. Ni kweli kila mtu akiwa na kiwanda cha kiberiti hakuna atakayeuza kiberiti kwa mwingine, lakini sio lazima wote tufanye biashara ya bidhaa moja. Uchumi hufanya kazi kwa diversification; kila mmoja akijikita katika fani au sekta tofauti, wote tunaweza kustawi. Ndiyo maana leo kuna mabilionea katika teknolojia, kilimo, madini, biashara ya simu, mitandao ya kijamii, mafuta, n.k.

Kwa hiyo hoja ya kusema hatuwezi wote kuwa matajiri kwa sababu ya demand na supply ni finyu; kinachohitajika sio kufanana kwenye bidhaa, bali ubunifu, sekta tofauti, na kuongeza thamani kwenye uchumi. Hapo kila mmoja atakuwa na nafasi ya kutajirika bila kuporomosha thamani ya soko.
 
Inaonekana somo la uchumi ulilisoma juu juu sana.
Kusema kwamba wote tukiwa mabilionea kutakuwa na inflation sio sahihi moja kwa moja.

Ngoja nikuongezee maarifa: Inflation hutokea pesa inapochapishwa bila thamani halisi nyuma yake, au pale ambapo bidhaa na huduma ni chache lakini watu wana pesa nyingi. Tukiamua kusimamia vizuri uzalishaji, teknolojia, na rasilimali za Afrika, hata watu wote tukiwa mabilionea hakutakuwa na inflation isiyodhibitika.

Mataifa kama Marekani na China yana mabilionea wengi, lakini bado pesa zao zinadumu na uchumi unakua. Shida siyo watu kuwa mabilionea. Shida ni mifumo dhaifu ya kusimamia uchumi. Kwa hiyo badala ya kuogopa kuwa mabilionea kwa sababu ya inflation, tujitahidi kuunda mifumo thabiti ya kiuchumi inayowezesha utajiri na uzalishaji kwenda sambamba. Hapo vipi, mkuu
Unataka watanzania wote wawe mabilionea halafu bei za vitu zisipande kwa inflation?

That is against the laws of economics.
 
Mkuu, mfano wako wa kiberiti na search engine una mapungufu makubwa. Uchumi wa kisasa hauna kikomo cha sekta wala bidhaa. Ni kweli kila mtu akiwa na kiwanda cha kiberiti hakuna atakayeuza kiberiti kwa mwingine, lakini sio lazima wote tufanye biashara ya bidhaa moja. Uchumi hufanya kazi kwa diversification; kila mmoja akijikita katika fani au sekta tofauti, wote tunaweza kustawi. Ndiyo maana leo kuna mabilionea katika teknolojia, kilimo, madini, biashara ya simu, mitandao ya kijamii, mafuta, n.k.

Kwa hiyo hoja ya kusema hatuwezi wote kuwa matajiri kwa sababu ya demand na supply ni finyu; kinachohitajika sio kufanana kwenye bidhaa, bali ubunifu, sekta tofauti, na kuongeza thamani kwenye uchumi. Hapo kila mmoja atakuwa na nafasi ya kutajirika bila kuporomosha thamani ya soko.
Huwezi kufanya nchi nzima iwe ya mabilionea halafu vitu visipande bei kwa inflation.

Kinachoifanya bilioni iwe na thamani sasa ni kwa sababu wachache wanayo. Akiwa nayo kila mtu, bilioni itakosa thamani.

Ukishafanya kila mtu awe bilionea thamani ya bilioni itakuwa ishashuka na haitanunua vitu vingi.

Huelewi wapi?
 
Chukua fimbo to 😂😂
 
That is against the laws of economics.
Saying that all people becoming billionaires is against the laws of economics, is misleading. Economics doesn’t have absolute ‘laws’ like physics; it has principles that adapt depending on productivity, innovation, and resource distribution. Inflation is not caused simply because many people are wealthy; it happens when money supply grows without a corresponding growth in goods and services. If wealth comes from innovation, production, and value creation, prices don’t have to spiral out of control. In fact, the strongest economies in the world are those where large portions of the population are affluent, not poor. Hapo vipi, mkuu
 
The simple fact is if everybody becomes a billionaire, a billion will be commonplace and lose its value.

How do you not understand that simple fact?

You are also making a logical non sequitur fallacy by saying "the strongest economies in the world are those where large portions of the population are affluent not poor." This is not what we are discussing. We are not discussing "large portion of tge population. We are discussing everybody. We are not discussing wealthy versus poor, we are discussibg billionaires. Do not shift the goal.

You shifted from talking about everybody to talking about "large portions of the population". You shifted from talking about billionaires and you are now talking about "affluent not poor".

Do you even know what you are talking about?

You are all over the map like a broken compass.
 
You’re missing the point by oversimplifying. The word ‘billionaire’ is just a monetary label, not a fixed law of nature. If everybody’s wealth increases, the terminology may shift, but the real issue is purchasing power and living standards, not whether we still call it a ‘billion.’ The value of money changes over time anyway; what was considered ‘rich’ 100 years ago is middle-class today.

Second, calling it a ‘logical fallacy’ to reference affluent populations is unfair. It’s relevant, because history shows that economies get stronger when more people share in wealth creation, not when wealth is hoarded by a few. The discussion is not about clinging to the word ‘billionaire,’ but about the possibility of widespread prosperity. If you insist on everyone being called a billionaire literally, yes the word loses rarity; but prosperity itself doesn’t lose meaning. The real goal is not the scarcity of the label, but the abundance of well-being.
 
You are recklessly and lazily imprecise on a subject that requires precision.

You could have used the word wealthy and avoided the entire brouhaha a long time ago.

Do not blame me for your lazy innumeracy.
 
Precision works both ways. You are insisting on the literal word ‘billionaire’ while ignoring the underlying point: widespread prosperity. Of course the term ‘wealthy’ could be used, but focusing only on semantics misses the argument. The discussion isn’t about clinging to a single word; it’s about the possibility of Africans rising together economically. Dismissing that as ‘lazy innumeracy’ doesn’t make your case stronger; it only shows you’re debating labels instead of substance.
 
Back
Top Bottom