Dhana kwamba uzalishaji na teknolojia vinaweza kuendelea kupanda bila mwisho ni potofu. Ni ndoto ya kidhahania isiyoweza kutekelezeka katika uhalisia.Aisee, unafaa sana kuwa lawyer. Unajua kucheza na maneno ili kumbana mtu.
Mkuu, high income inafafanuliwa si kwa wingi wa watu bali kwa purchasing power na kiwango cha uzalishaji. Ikiwa uzalishaji na teknolojia vinaendelea kupanda, kipato cha juu cha watu wengi kinaweza kubaki ‘high’ kwa sababu kina uwezo halisi wa kununua zaidi ya basic needs. Ukiona kimekuwa average, basi definition ndiyo imebadilika, sio kwamba ustawi umeondoka.
Kusema haiwezekani kwa sababu haijawahi kutokea sio hoja ya kiuchumi, ni hoja ya kihistoria tu. Mbona kuna mambo mengi ambayo hayakuwa yametokea zamani, kama vile ndege kuruka, au hii mifumo ya internet, lakini leo yamekuja kutokea?Na mara zote hizo kumekuwa na madaraja, haijawahi kutokea muda ambao watu wote wamekuwa matajiri.
Sawa.Kusema haiwezekani kwa sababu haijawahi kutokea sio hoja ya kiuchumi, ni hoja ya kihistoria tu. Mbona kuna mambo mengi ambayo hayakuwa yametokea zamani, kama vile ndege kuruka, au hii mifumo ya internet, lakini leo yamekuja kutokea?
Nature ya watu ni kujilinganisha.Hakuna utajiri bila umasikini.
Ni kweli resources za dunia ni finite, lakini historia imeonyesha uwezo wa productivity growth na innovation kuvunja ‘ceilings’ ambazo zamani zilionekana mwisho wa dunia. Malthus alitabiri maafa, lakini Green Revolution, digital economy, renewable energy na biotech zimeendelea kuongeza uzalishaji na kubadilisha limits tulizodhani haziwezi kuvukwa. Hata ‘finite’ resources hupewa thamani mpya kupitia recycling, substitution na discovery (mfano: data economy, clean energy, rare earth alternatives). Kwa hiyo hoja ya mwisho kamili sio economic law; ni projection ya sasa.Dhana kwamba uzalishaji na teknolojia vinaweza kuendelea kupanda bila mwisho ni potofu. Ni ndoto ya kidhahania isiyoweza kutekelezeka katika uhalisia.
Katika uchumi wa uhalisia, ingawa teknolojia inaweza kuongeza sana uzalishaji, this is true only up to a point. Because ultimately, resources are finite.
Thomas Malthus alitabiri kuwa maafa, majanga, magonjwa yatakuwa na a natural check on population growth. Akawa sawa kwa muda mrefu. Lakini teknolojia ikaongeza uwezo wa watu kuongezeka bila kuathiriwa na magonjwa na njaa, lakini pia tunaona bado teknolojia ina mwisho wake.
Halafu what do you do about lqzy people who do not apply themselves, kuna cousin wangu mmoja anasema "shetani wao hataki pesa". Utawafanya nao wawe prosperous kwa nguvu?
You can't.
A free market will always have winners and losers.
This is mostly an academic debate that lacks the political wherewithal to test on the ground.Ni kweli resources za dunia ni finite, lakini historia imeonyesha uwezo wa productivity growth na innovation kuvunja ‘ceilings’ ambazo zamani zilionekana mwisho wa dunia. Malthus alitabiri maafa, lakini Green Revolution, digital economy, renewable energy na biotech zimeendelea kuongeza uzalishaji na kubadilisha limits tulizodhani haziwezi kuvukwa. Hata ‘finite’ resources hupewa thamani mpya kupitia recycling, substitution na discovery (mfano: data economy, clean energy, rare earth alternatives). Kwa hiyo hoja ya mwisho kamili sio economic law; ni projection ya sasa.
Kuhusu ‘lazy people,’ uchumi wa soko huria (free market) tayari unakubali kwamba sio kila mtu atapata outcome sawa. Lakini kuongezeka kwa aggregate prosperity hakuhitaji kila mtu awe hodari wa kuchapa kazi; kinachohitajika ni system inayozalisha opportunities nyingi na incentives bora. Social safety nets, education, access to credit na universal basic income ni mifano ya ku-minimize losers bila kuua market incentives.
Kwa hiyo, kusema ‘free market will always have winners and losers’ sio pingamizi la msingi kwa wazo la wealth expansion. Winners and losers hawazuii median standard of living kupanda; ndiyo maana leo standard ya mtu maskini katika nchi nyingi iko juu kuliko tajiri wa karne ya 18. Historia inaonyesha ceiling huwekwa na teknolojia, kisha teknolojia mpya huiinua tena. Hapo vipi, mkuu.
NeverHakuna ‘NEVER’ kwenye uchumi. Historia inaonyesha maisha ya watu yamekuwa yakibadilika sana. Kipato cha dunia kimepanda mara nyingi na mamilioni ya watu wameondoka kwenye umaskini uliokithiri.
Mi yangu huto ielewa kabisa, maana mkuu Kiranga kakupa darasa zuri ila huelewi.Mkuu, toa na wewe speech yako tuipime, tuone kama na wewe unastahili kulipwa
I appreciate your reality check; but none of what I’ve said requires a ‘perpetual motion machine.’This is mostly an academic debate that lacks the political wherewithal to test on the ground.
Basically you are arguing all these exotic perpetual motion machine dreams while you don't even have a bicycle.
It is an interesting Selassian illussion, to be pursued, but never attained.
Intra-African trade cannot even deal with the low hanging fruit of removing US dollar dependency by using African currencies and settle using the Pan-African Payment and Settlement System.
What you are saying is like a cruel joke of dangling the unattainable to the uninformed.
Kifupi umeleta ndoto za Alinacha ambazo huna hata namna ya kuzipima kama zinasimama katika uhalisia.I appreciate your reality check; but none of what I’ve said requires a ‘perpetual motion machine.’
1️. Academic vs. practical: Economics always begins as theory before it becomes practice. Central banking, container shipping, mobile money, and even the Pan-African Payment and Settlement System you mention all started as ‘academic’ proposals before political will caught up. Calling an idea ‘academic’ doesn’t disqualify it; it simply means the political work remains.
2️. ‘I don’t even have a bicycle’ analogy: Personal ownership is irrelevant to macro-economic possibility. A scientist doesn’t need to own a rocket to calculate orbital mechanics. Likewise, one can discuss large-scale economic dynamics without personally being a billionaire.
3️. Africa’s current trade limits: I agree intra-African trade is struggling, but that supports my point rather than kills it. The fact that African nations are already experimenting with regional payment systems shows movement toward exactly the structural reforms that allow broader prosperity. Early friction doesn’t mean permanent impossibility; it’s the normal path of economic integration (compare the decades of messy steps that led to today’s EU single market).
4️. ‘Dangling the unattainable’ charge: History repeatedly proves that what sounds unattainable in one century becomes ordinary in the next - abolition of slavery, universal suffrage, mass literacy, electrification, global aviation. Progress is not magic; it’s cumulative innovation meeting political will.
So yes, political will and institutional strength are the hard part. But dismissing broad wealth creation as a “cruel joke” confuses current difficulty with permanent impossibility. The absence of something today is not evidence it can never exist tomorrow.
I agree with you on one key point: the word rich is always relative.Kifupi umeleta ndoto za Alinacha ambazo huna hata namna ya kuzipima kama zinasimama katika uhalisia.
Hujaelewa kuwa hata kama the unattainable is eventually attained this does not mean there is no limit to innovation.
We can aim to eradicate abject poverty, provide better social sevices such as universal healthcare and free/affordable education, eradicate hunger, etc, but the utopia of making everyone rich, especially money wise, is economically unsustainable and philosophically a contradiction.
Because if you aim to raise people's GDP per capita income to $100,000, thinking that is making them "rich", and you attain that, that $100,000 is going to be the new poor, because everyone will have it. People will be looking towards being millionaires as being rich.
I agree with you on one key point: the word rich is always relative.
If everyone’s income rises to $100,000, that figure stops being ‘rich’ in the sense of status.
But that is not a failure of economics; it’s the very definition of progress.
The goal isn’t to preserve an exclusive club called ‘the rich’; it’s to raise real living standards for as many people as possible.
Economic development has always worked this way: yesterday’s luxuries become today’s necessities.
Running water, electricity, smartphones, even air travel were once ‘rich people’s privileges.’
Their widespread adoption didn’t create disaster; it redefined what counts as wealth while massively improving quality of life.
So yes, relative wealth will always create a new upper tier; that’s human ambition.
But absolute prosperity (better housing, healthcare, education, choices) can keep rising without collapsing markets, as long as productivity and innovation keep pace.
Calling that pursuit a ‘philosophical contradiction’ confuses status competition with material well-being.
The fact that people will set a higher bar tomorrow is not a reason to stop lifting today’s floor.
Mkuu, hizi ni ndoto au nondo?
My friend, calling the heading misleading and myopic misreads its intent.Your heading "Waafrika tuache kulia lia kwa kukosa pesa. Tunaweza wote kuwa mabilionea" na dhana nzima ya ku focus kwwnye pesa is misleading and myopic.
The heading is misleading and myopic, regardless of intent.My friend, calling the heading misleading and myopic misreads its intent.
It does not promise an overnight money-grab or reduce success to mere cash; it challenges the defeatist belief that wealth is forever reserved for a few.
Far from being myopic, focusing on economic empowerment is forward-looking; without financial strength, no society sustains quality education, healthcare, or innovation.
The phrase “tunaweza wote kuwa mabilionea” is just a metaphor for unlocking Africa’s vast potential, not a literal call for everyone to chase the same bank balance.
Hapo vipi, mkuu
Your critique is eloquent, but it overstates both my claim and my intent.The heading is misleading and myopic, regardless of intent.
It focuses on cheap jingoism and shallow lowbrow dreams of having a continent where everybody is a billionaire.
That is right up there with some Idi Amin "let's print more money so we could all be rich" level buffoonery.
What is worse is, you seem to understand that, you did not need to do that, you just chose to clickbait people.
That is lower than ignorance. At least ignorance can be defended, on the basis of not knowing better.
What you did is a malicious insult to our collective intelligence.