Waafrika tujitafute, Ukristo na Uislamu si kwa ajili ya mtu mweusi

Tatizo sio dini tatizo ni akili zetu wenyewe kua duni.Kwasababu uko kote kulikotoka hizo dini hawana mambo yakijinga kama tunayofanya uku kwetu kwakigezo cha dini.Dini ni itikadi tu nasio lazima uizingatie.Unaweza ukaishi bila dini yoyote au unaweza kua mfuasi wa dini na ukaishi vizuri bila dini kukufanya mtumwa endapo utakua na akili timamu.Ilo lakua mwafrika ndo binadamu halisi aliyeumbwa na Mungu sio kweli ata kidogo.Unajifariji tu.
 
Mmekuwa tegemezi mno, mnaona watu weupw ndio bora sana na nyie duni sana
Utegemezi unakuja automatic kwasababu ya udhaifu wetu.Kitu dhaifu lazima kitegemee kilicho imara.Sisi ni dhaifu kuanzia mwili hadi akili ndo maana kila kitu tunategemea ngozi nyeupe itusaidie.
 
Dini ya mtu mweusi ni Uislam tu, ni dini ya watu wote
 
Unasontea watu Vidole kwamba Kule siko waje Huku au waende pale..., In short unafanya kilekile ambacho wao unasema wanafanya...

Binafsi nasema to each his/her own..., Na ninawasifu sana waasisi wetu waliosema serikali au hii nchi haina dini; kila mtu kivyake kwa afya yake tukikutana wote don't put / force your faith into my face....
 
Hizo dini waarabu na wazungu walizitoa wapi?waarabu walileta kitabu qur,an ilioandikwa kwa kiarabu kwa sasa zipo zilizo tafsiliwa tupe andiko humo linalo sema uisilamu ni dini ya waarabu tu au ni mila zao

Kuna kitabu kinaitwa biblia kimeandikwa kwa kiswahili tupe andiko libalo sema kitabu hicho ni cha wazungu tu

Bila kutupa andiko atuwezi kufuata akili zako hizo mwisho utatwambia magali hayatuhusu tutembee kwa miguu
 
Naongezea mtemi akifa anazikwa na mtu mzima kwa lazima
 
Kwer kabisa
 
Unajua pia wazungu walikuwa wanakula ndugu zao wa damu hadharan?
 
Wako kwenye utumwa
Ni vigumu kuongelea swala la Imani lakn kuna nyakati naona tumepigwa kitanzi bila ya sisi kujua wenyew lkn ukihoji sana Utaambiwa umezaliwa unakuta wazazi wako wapo humo wew waenda wapi nawe Kaa umo umo
 
Utajua wewe na bwana wako
 
Umekengeuka lini mtumishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…