gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Tatizo sio dini tatizo ni akili zetu wenyewe kua duni.Kwasababu uko kote kulikotoka hizo dini hawana mambo yakijinga kama tunayofanya uku kwetu kwakigezo cha dini.Dini ni itikadi tu nasio lazima uizingatie.Unaweza ukaishi bila dini yoyote au unaweza kua mfuasi wa dini na ukaishi vizuri bila dini kukufanya mtumwa endapo utakua na akili timamu.Ilo lakua mwafrika ndo binadamu halisi aliyeumbwa na Mungu sio kweli ata kidogo.Unajifariji tu.