Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
- Thread starter
- #101
Hakuna kiongozi wa afrika anayeweza ona mwaka 2030 ukojeUmaslkini wa maono,umaskini wa kuvumiliana,umaskini wa kuwaona wapinzani ni adui,umaskini wa kila jambo ndio shida ya Afrika.
Lakini inadaiwa waafrika wa zamani ya Mafarao wa Misri,Afrika ya Mansa Mussa wa Mali,Afrika ya Queen Sheba wa Ethiopia n.k ilikuwa juu ya Dunia kimaendeleo.Kwanini hatujitambui?