Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
- Thread starter
-
- #101
Hakuna kiongozi wa afrika anayeweza ona mwaka 2030 ukojeUmaslkini wa maono,umaskini wa kuvumiliana,umaskini wa kuwaona wapinzani ni adui,umaskini wa kila jambo ndio shida ya Afrika.
Lakini inadaiwa waafrika wa zamani ya Mafarao wa Misri,Afrika ya Mansa Mussa wa Mali,Afrika ya Queen Sheba wa Ethiopia n.k ilikuwa juu ya Dunia kimaendeleo.Kwanini hatujitambui?
Sasa type error ndiyo nini? Nadhani umeona wewe ni mtu wa aina gani na ndiyo maana wewe ni mfuasi wa bashite kulingana na akili zakoUkiona nimeandika senstensi ina makosa ujue ni type error.
Na siwezi chat na mbwa kama wewe, we ni dogii tena ile inakula jalalani na kulala nje.
Its was typographical error, typo,, nazungumza na simu inaandika, labda haikunisikia vizuri, natumia real-time speech recognition, sishabikii chama chochote .Sasa type error ndiyo nini? Nadhani umeona wewe ni mtu wa aina gani na ndiyo maana wewe ni mfuasi wa bashite kulingana na akili zako
Basi sawa, siyo kesiIts was typographical error, typo,, nazungumza na simu inaandika, labda haikunisikia vizuri, natumia real-time speech recognition, sishabikii chama chochote .