Waafrika wengi wanatamani mapinduzi kama ya Niger na Burkina Faso. Ufisadi unawakera na kuwachosha

Waafrika wengi wanatamani mapinduzi kama ya Niger na Burkina Faso. Ufisadi unawakera na kuwachosha

Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.

Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa

Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka

View attachment 2709847
Huyo mwanajeshi anasifika sasa hivi subiri madaraka yamkolee kichwani, ni Idi Amin mpya
 
Jaji Ndunguru: Tunakubaliana na hoja ya Waleta Maombi, kwamba ibara za IGA imevunja sheria za ulinzi wa Rasilimali, kwa kupeleka migogoro nje ya nchi. Hata hivyo, dosari hiyo haitatumika kuutangaza IGA kuwa ni batili.
 
Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.

Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa

Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka

View attachment 2709847
Nchi nyingi za afirika magharibi zimepitia mapinduzi lakini hakuna la maana zaidi ya kua watu wasio kuwa na makosa wengi wanao sherehekea mapinduzi ni wapumbavu
 
Waliofanya mapinduzi Niger ni zaidi ya mafisadi. Serikali iliyopinduliwa Niger ni serikali iliyopo madarakani kwa kura za halali tena kwa asilimia zisizozidi 6.

Waliopinduwa hawatafanikiwa kwa kwa wao ndio mafisadi wa kwanza. Hayo yalikuwa ni mambo ya miaka ya mwanzo Afrika kuanza kujitawala. Sasa hapana, Waafrika tusikubali kabisa mambo hayo.

Tukikubali hayo, tutatumiwa milele.
Wakati mwingine nyundo inatakiwa kwenye nati iliyoigomea spana.
 
Wafurahie Leo ila siku serikali ikapinduliwa na wale mkono wa chuma utajuta.. mtanyang'anywa hizo biashara na account za bank mtanyogwa mtabakwa na hakuna cha uchaguzi yani nchi nzima mnakuwa wamama..bora wa kiraiya Leo mafisadi kesho Magu, keshokutwa samia, wiki ijayo Lissu.
 
Subiri ukifika Muda wa utawala wa mabavu kwenye hizo tawala za kijeshi ndio uongee. Wewe unadhani ni Kwa Nini Raia wanavumilia utawala wa kiraia ? Kwa sababu utawala wa kiraia hauna ubabe na mambo mengine.

Utawala wa kiraia unaondoka Kwa kura ila utawala wa kijeshi unaondoka kama ulivyoingia, Kwa mapinduzi
utawala wa kijeshi unaweza usiwe mzuri ila ni mwanzo wa mabadiliko hasa katika maeneo ambayo inaonekana mbadiliko hayawezekani. Katika maeneo ya namna hiyo nguvu ya wananchi kufanya maandamano huishia kumiminiwa risasi na mabadiliko hayaji; katika hali kama hiyo haina tofauti na kutawaliwa kijeshi.
 
Mlimtukana mjeshi jpm,kiongoz aliyeongoza nchi kijeshi,japo yeye ni zao la kura za wananchi.
Si mapinduzi hatutaki tunataka amani tu, hata hivyo wengi wenu wala viepe na wacheza singeli mapinduzi mtayawezea wapi nyie mapinduz yanataka watu wenye roho ngumu watu shupavu wanaume wa shoka., mapinduzi nyie fanyieni nyuma ya kibodi tu ole wenu niwakute road nnazaa na nyie.
 
Back
Top Bottom