nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
Huyo mwanajeshi anasifika sasa hivi subiri madaraka yamkolee kichwani, ni Idi Amin mpyaWaliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.
Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa
Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka
View attachment 2709847