Maganjila tz
Member
- May 2, 2024
- 56
- 80
Tufanyaje sasa kaka hii tatizo kukomeshaulozi,miundombinu mibovu ndio chanzo
maisha ya kijijini niyakishamba sana asikudanganye mtu
jamii zibadilike na miundombinu pia mbona jibu liko wazi kijana wangu au mpaka VETATufanyaje sasa kaka hii tatizo kukomesha
ni kweli lakini serikali yetu inaweza kufanya haya kwa wakati?Miundombinu ikiboreshwa
Barabara
Maji
Umeme
Nyumba za walimu n.k
Na kuwepo kwa incentives mbali mbali Kama viposho n.k
Si walimu tu, professional yoyote hawezi kufanya kazi vijijini aache mijini, tena Dar kwanza. Ndio ukweli.View attachment 3276496nini kifanyike na shule za vijijini zipate waalimu wa kutosha kama za mijini?
Ndiko tulikotoka mkuuUmshawai kuishi vijijini sio wakina Lucas wanakudanganya hapa JF
Lakini ulisoma na uliapa kuwa tayari kufanya kazi popote iweje leo useme mjini tu unafikili kijijini ataenda nani?Si walimu tu, professional yoyote hawezi kufanya kazi vijijini aache mijini, tena Dar kwanza. Ndio ukweli.
Labda umeajiliwa jana.WE utumishi ufahamu ukishaingia serikalini na kitu kinacho takiwa idara zote za zinazo kuwa zina watumishi ziwe na vyuo vijijini sio mijiniNdiko tulikotoka mkuu
🤣🤣🤣Labda umeajiliwa jana.WE utumishi ufahamu ukishaingia serikalini na kitu kinacho takiwa idara zote za zinazo kuwa zina watumishi ziwe na vyuo vijijini sio mijini
Miundombinu na huduma za kijamii ziboreshwe.View attachment 3276496nini kifanyike na shule za vijijini zipate waalimu wa kutosha kama za mijini?
Asante mkuuMiundombinu na huduma za kijamii ziboreshwe.
Kabisa maana kunavijiji bati unaona kwenye mapaa ya shule tu nyumba zote nyasi 😆Waongeze posho na promo za kutosha kushawishi walimu wakomae kufundisha shule za vijijini.
Viongozi wote wakubwa wa serikali waweke ofisi zao vijijini halafu muone kama kuna mwl atakayekataa kufanya kazi kijijini.View attachment 3276496nini kifanyike na shule za vijijini zipate waalimu wa kutosha kama za mijini?
Hahaha umetisha kaka 😂😂Viongozi wote wakubwa wa serikali waweke ofisi zao vijijini halafu muone kama kuna mwl atakayekataa kufanya kazi kijijini.
Is this a rhetorical question?View attachment 3276496nini kifanyike na shule za vijijini zipate waalimu wa kutosha kama za mijini?