Kijinini akae aliezaliwa na kukulia huko. Tusilazimishane bana. Mjini kuna mambo mengi. Hukoni kulimalima tu ndio cha maana, sio kila mtu anapenda kulimalima.Lakini ulisoma na uliapa kuwa tayari kufanya kazi popote iweje leo useme mjini tu unafikili kijijini ataenda nani?
Hii ni kweli mkuuKule kijijini utakuta shule haina mwalimu wa kike, ni wanaume watupu. Kuhusu masuala ya wanafunzi wa kike inabidi mmpate mama mtu mzima mwanakijiji mmfanye ndio matroni kwa ajili ya wanafunzi wa kike japo huyo mama hapati posho anajitolea tu ila mtampa kipaumbele kuwa mpishi mkuu shuleni nyakati za mitihani ya kitaifa. Kuna shule za vijijini kumpanga mwalimu wa kike ni shughuli pevu labda uumpe adhabu umtupe huko mpaka ashike adabu ndio umtoe huko ndani kijijini kusiko na barabara ya kueleweka mbali na mjini
Uwaga wako tu😂Kijiji ukifuga hata kuku wanakijiji wanakujia juu kama sio kulogwa.. suluhisho ni kupewa risk allowance
Tufanyaje sasa ili shule ziwe na waalimu wa kutoshaIla Kijijini jau sana kwa kweli, ni vile walimu wa huko hawana namna, pia wengi wao huwa wanahamia Mjini.
Hao wanaoishi huko wachukue kozi za ualimu..View attachment 3276496nini kifanyike na shule za vijijini zipate waalimu wa kutosha kama za mijini?
Sio lazima aende mtu, kwani hakuna watu wanaoishi huko? Hao hao wafundishane wenyewe..Lakini ulisoma na uliapa kuwa tayari kufanya kazi popote iweje leo useme mjini tu unafikili kijijini ataenda nani?
Dar kwanza ondoa, mimi siwezi kufanya kazi kwenye mji ambao naamka saa 10 alfajiri kuwahi kazini alafu narudi saa nne usiku nyumbaniSi walimu tu, professional yoyote hawezi kufanya kazi vijijini aache mijini, tena Dar kwanza. Ndio ukweli.
Ila ndio serikali inapeleka kila kitu.Dar kwanza ondoa, mimi siwezi kufanya kazi kwenye mji ambao naamka saa 10 alfajiri kuwahi kazini alafu narudi saa nne usiku nyumbani
Bàada ya kufika Dar na kwenu umesahau? Ushamba tu unawasumbua, Dar ninayoijua?Si walimu tu, professional yoyote hawezi kufanya kazi vijijini aache mijini, tena Dar kwanza. Ndio ukweli.
kuna mwalimu mmoja alikuwa analima wanakijiji wakaona anafaidi maisha mara mbili, wakamchukia na kuanza kumchongea kwa maafisa wanaokuja kijijini kuwa hafundishi analima tu mashamba yake wakati wa kufundisha na ni mlevi wakati wa kazi. Waliona kwa nini analima wakati ana mshahara?Kijiji ukifuga hata kuku wanakijiji wanakujia juu kama sio kulogwa.. suluhisho ni kupewa risk allowance
Tatizo ajira za upendeleo serikali iajiri waliotoka vijijini wawapeleke hukoulozi,miundombinu mibovu ndio chanzo
maisha ya kijijini niyakishamba sana asikudanganye mtu