Waamuzi wanaofanya makusudi kufanya makosa na VFS ipo, wafukuzwe kabisa kuchezesha ligi

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,333
Reaction score
5,845
Sitarajii TFF iwe na huruma na hawa waamuzi wanaofanya makosa maksudi licha ya wao kuwa na nafasi ya kupitia maamuzi yao kupitia vfs.

TFF wawe na standard katika kushughulikia makosa yanayofanywa na wachezaji pamoja na waamuzi.
Mfano ni Eli Sasii ambaye ameshindwa kutoa adhabu sahihi kwa beki wa Azam kwa makosa yaliyowagharimu wachezaji wengine kadi nyekundu.

Tunasikia Yanga wamekata rufaa dhidi ya kadi ya Aziz ki. Siku wakiifuta,warejee pia kadi zote zilizotolewa kwa makosa kama hayo na kuwaadhibu waamuzi waliozitoa. Pia TFF ilipe fidia timu zilizoathirika na maamuzi hayo kwa kuwa walishindwa kuingilia kati mapema na kupunguza madhara yaliyotokea baada ya adhabu hizo.

TFF waache siasa kwenye soka kwani wataharibu mpira na kuwakatisha tamaa wawekezaji waliowekeza pesa nyingi kwenye ligi hii ambayo ni namba 6 Afrika.

TFF waache kuwatumikia yanga bali wawe wasimamizi wa haki kwa timu zote zinazoshiriki ligi ya NBCL.
 
Lengo hapa ni Yanga au TFF? Yanga wameka

Tatizo lako ni Yanga au TFF? Yanga wamekata Rufaa kisheria na kama timu yako haikuridhika na maamuzi haikukatazwa kupinga maamuzi kisheria.
 
Back
Top Bottom