Waandamanaji Iran waanza kutumia silaha za moto

Waandamanaji Iran waanza kutumia silaha za moto

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Kama ni mipango iliopangwa basi imepangika kweli kweli,
vita ya Syria ilianza kwa mwanafunzi kuchora kwenye bweni la shule akimtuhumu Asad, polisi wakamkamata, watu wakaandamana aachiliwe, maandamano yakageuka vita.

Sasa ni zamu ya Iran
 
Iran hawataiwez WATAWEKA VIKWAZO ILA HAKUNA INCHI YOYOTE ITAKAYOTUMA JESHI LAKE KWENDA KUWASAIDIA WANANCHII, WATABEBA SILAHA KAMA ILE YA MYMARI ILA WATAISHIA KUCHAKAZWA NA KUFUNGWAA HAKUNA ATAKAYE WASAIDIA

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] hii ndio tofaut yetu sisi na wao , bado ww upo karne ya 15 ils wenzio wapo karne 21 najua hujaelewa , kuingiza jeshi kweny nchi nyingine ni mbinu ya kizaman sana
 
Kama ni mipango iliopangwa basi imepangika kweli kweli,
vita ya Syria ilianza kwa mwanafunzi kuchora kwenye bweni la shule akimtuhumu Asad, polisi wakamkamata, watu wakaandamana aachiliwe, maandamano yakageuka vita.

Sasa ni zamu ya Iran
Syria ilianza hivi hivi. Eti waandamanji walianza na mawe kisha baadae wakaanza kutumia M60 na RPG
 
Eeenh eeenh Ayatolah hamumjui vema nyie ? Subirini na mbaya zaidi hakuna atakayetia pua hapo kusaidia kama libya wale watu noma sana
Ttzo story za vijiwen , Libyia waliuana wao wenyew NATO walikuja kushambulia msafara wa Ghadaf alipokuwa anakimbia Tripoli , Ttzo bado mpo karne ya 15 , dunia ya leo sio ya kuvamiana watu wanatumia udhaifu wenu wanatoa msaada wa silaha kwa aliye tyr kupigana mnadhoofishana wenyew kwa uchiz wenu the same kwa Urusi , China kastukia mchezo
 
Back
Top Bottom