Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 878
- 1,195
Au sioNimekwisha waambia kwa sasa Majasusi wa Magharibi ndio kitisho cha Dunia wameweza mtekenya mpaka Russia Sasa Iran kaingia cha kike... Drone zake na misaada yake kwa Russia ndio vinaenda muangusha... Israel kwa muda mrefu alikuwa akitafuta teachnology ya Iran akajichanganya akampa Russian while Russian anaharibu Ukraine kwa mabomu na vifaa vya Iran. Majasusi hawalali wana okota kila kipande cha silaha ya Iran kupata taarifa muhimu na kutengeneza silaha kuzuwia silaha hizo tumika ktk mataifa yao.