Waandamanaji Iran waanza kutumia silaha za moto

Waandamanaji Iran waanza kutumia silaha za moto

Kila nchi na utamaduni wake mbona nyinyi mnalazimisha watu wakubali tabia zenu za kuoana wanaume
Nani huyo amelazimisha nchi yoyote ikubali ndoa za jinsia moja na lini wamefanya hivyo wakati hata huko Ulaya na Marekani hakuna sheria inayomlazimisha uovu huo.
 
Iran hawataiwez WATAWEKA VIKWAZO ILA HAKUNA INCHI YOYOTE ITAKAYOTUMA JESHI LAKE KWENDA KUWASAIDIA WANANCHII, WATABEBA SILAHA KAMA ILE YA MYMARI ILA WATAISHIA KUCHAKAZWA NA KUFUNGWAA HAKUNA ATAKAYE WASAIDIA

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app

Ni kweli US na Israel inahusika sana, lakini wakumbuke kwamba Iran hiko vizuri kwenye masuala ya kiulinzi na upelelezi wata hunt down sleeper cells zote, kuzifungia NGOs zote na kuwafatia Wairan wasaliti wachache wanao tumiwa na intelligence agencies za magharibu ku-instigate masuala ya colour revolution kama ilivyo tokea nchini Ukraine in 2014/15 mataifa ya magharibi walitaka kurudia njama hizo kisiwani Hong Kong lakini Uchina ikawadhibiti mapema sana.

Binafsi nina uhakika Iran ina uwezo mkubwa wa kudhibiti ujinga huu bila ya kuwaonea huruma wahusika wakuu wala waadamanaji wote wakao puuzia kutii amri bila shuruti au Iran ikiona vipi basi waombe msaada kutoka Russia, Urusi wana uzoefu mkubwa wa ku-deal na vurugu na maadamano ya kuchonga zinazo kuwa insigated by western intel agecies kwa lengo la kusababisha TURMOIL kwenye mataifa lengwa.
 
Iran angekuwa bora ktk intellignce kama unavyozungumza, basi wala wanasayansi wasingekuwa wanadondoshwa na MOSAD kila wanapoamua kuwadondosha.
 
Uzuri Ayatollah atawanyonga kama 10,000 hivi na Maisha yataendelea fresh kabisa.

Na hicho ndicho kitakuja kutokea - binafsi sita waonea huruma - huwa siwapendi kabisa wananchi wanao saliti mataifa yao wana end up kutumiwa kwa ajili ya maslahi ya western vested interests - personally I believe such traitors deserves a guillotine - my opinion.
 
Kama ni mipango iliopangwa basi imepangika kweli kweli,
vita ya Syria ilianza kwa mwanafunzi kuchora kwenye bweni la shule akimtuhumu Asad, polisi wakamkamata, watu wakaandamana aachiliwe, maandamano yakageuka vita.

Sasa ni zamu ya Iran
Nimekwisha waambia kwa sasa Majasusi wa Magharibi ndio kitisho cha Dunia wameweza mtekenya mpaka Russia Sasa Iran kaingia cha kike... Drone zake na misaada yake kwa Russia ndio vinaenda muangusha... Israel kwa muda mrefu alikuwa akitafuta teachnology ya Iran akajichanganya akampa Russian while Russian anaharibu Ukraine kwa mabomu na vifaa vya Iran. Majasusi hawalali wana okota kila kipande cha silaha ya Iran kupata taarifa muhimu na kutengeneza silaha kuzuwia silaha hizo tumika ktk mataifa yao.
 
Iran angekuwa bora ktk intellignce kama unavyozungumza, basi wala wanasayansi wasingekuwa wanadondoshwa na MOSAD kila wanapoamua kuwadondosha.
Sio Hilo tu je umesoma makala yangu juu ya yule general wa Iran alie uwawa Iraq? Pigo ambalo ndio mwisho wa Iran
 
Nimekwisha waambia kwa sasa Majasusi wa Magharibi ndio kitisho cha Dunia wameweza mtekenya mpaka Russia Sasa Iran kaingia cha kike... Drone zake na misaada yake kwa Russia ndio vinaenda muangusha... Israel kwa muda mrefu alikuwa akitafuta teachnology ya Iran akajichanganya akampa Russian while Russian anaharibu Ukraine kwa mabomu na vifaa vya Iran. Majasusi hawalali wana okota kila kipande cha silaha ya Iran kupata taarifa muhimu na kutengeneza silaha kuzuwia silaha hizo tumika ktk mataifa yao.
Ifike mahali tumpe heshima yake US ktk intelligence, jamaa wapo mbali saana hawa.
 
Iran angekuwa bora ktk intellignce kama unavyozungumza, basi wala wanasayansi wasingekuwa wanadondoshwa na MOSAD kila wanapoamua kuwadondosha.

Nayajua sana hayo mbona, lakini mkuu ingekuwa vema kama walao ungesoma vizuri nilicho andika - nimesema kwamba: Iran inauwezo mkubwa wa kupeleleza na kuwatia mbaroni wahusika wakuu wa machafuko yanayo endelea kwenye baadhi ya miji nchini Iran na kuwashughurikia summarily hicho ndicho nilicho kisema.

Tukija kwenye suala ya mauuaji ya wana sayansi wa Iran - hivi huna habari kwamba wahusika karibu wote walisha patikana na kutiwa mbaroni - majority ya wauuaji actually ni Wairan wenye asili ya kiyahudi au wewe hilo ulikuwa ulijui, kitu kingine Wairan wanazima sana attempts nyingi tu za ku-harm watu wao muhimu pamoja na hujuma nyingine dhidi ya Taifa la Iran. Don't think Iranians/Persians are fast asleep - ney.
 
Watanzania tunalakujifunza kutoka ndugu zetu wa damu wa Irani.Tunamiaka 61ya Uhuru lakini bado tunashida ya maji umeme Barbara,hospitali huku viongozi wakijilimbikizia pesa za umm

Nimekwisha waambia kwa sasa Majasusi wa Magharibi ndio kitisho cha Dunia wameweza mtekenya mpaka Russia Sasa Iran kaingia cha kike... Drone zake na misaada yake kwa Russia ndio vinaenda muangusha... Israel kwa muda mrefu alikuwa akitafuta teachnology ya Iran akajichanganya akampa Russian while Russian anaharibu Ukraine kwa mabomu na vifaa vya Iran. Majasusi hawalali wana okota kila kipande cha silaha ya Iran kupata taarifa muhimu na kutengeneza silaha kuzuwia silaha hizo tumika ktk mataifa yao
Na kuna taarifa ya wao kuanza uzalishaji Russia, not sure kama ni propaganda za west ku punish Iran au ni kweli
 
hapana, kwa upande wa uchumi na techonojia, China ni tishio sana kwa marekani has ukizingatia anacheza mechi zake kwa akili, mfano ile chokochoko ya Taiwan, mchina angejichanganya angekula vikwazo vingi na kupoteza mitaji yake mingi ilioko nchi za magharibi. kwa sasa shida iko
1. Russia kijeshi
2. China kiuchumi, technolojia na jeshi
3. Iran ki itikadi, na kwa kiasi technolojia na jeshi
4. North korea kijeshi

ugumu wa syria ni mgongo wa Iran na Russia so sio tishio sana
Still wataangushwa hao wote..ni suala la muda tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kila nchi na utamaduni wake mbona nyinyi mnalazimisha watu wakubali tabia zenu za kuoana wanaume
umelazimishwa kuolewa na basha ? [emoji23][emoji23][emoji23] ukut ww ushapoteza linda tupe exposure yako
 
Ttzo story za vijiwen , Libyia waliuana wao wenyew NATO walikuja kushambulia msafara wa Ghadaf alipokuwa anakimbia Tripoli , Ttzo bado mpo karne ya 15 , dunia ya leo sio ya kuvamiana watu wanatumia udhaifu wenu wanatoa msaada wa silaha kwa aliye tyr kupigana mnadhoofishana wenyew kwa uchiz wenu the same kwa Urusi , China kastukia mchezo
Nato ilishiriki sana tu walimzuia Gaddafi kutumia anga wao wakashambulia kutokea angani
 
Back
Top Bottom