Waandamanaji Iran waanza kutumia silaha za moto

Waandamanaji Iran waanza kutumia silaha za moto

Usiongee hivyo...hayo yakianza Huwa yanaishia pabaya..mara nyingi kupata amani kama ya mwanzo Huwa ni ngumu.....nikuwaombea hao walejee kwenye amani. Marekani ni mpumbavu ni siwapendi...wamevuruga amani sana Duniani... siwapendi kabisaa...
Kabla ya Ayattola Iran haikuwa nchi ya dini na ilikuwa na uhuru na amani.
Mapinduzi ya Ayatollah nndio yameleta yote haya
 
West propaganda
Hizohizo propaganda ndizo zinazo lala nao mbele
drive-by.gif
 
[emoji16][emoji16][emoji16] hii ndio tofaut yetu sisi na wao , bado ww upo karne ya 15 ils wenzio wapo karne 21 najua hujaelewa , kuingiza jeshi kweny nchi nyingine ni mbinu ya kizaman sana
kwa hiyo lile jeshi la Marekani pale Afghanistan mwaka jana ilikua mbinu ya kizamani??
 
Ttzo story za vijiwen , Libyia waliuana wao wenyew NATO walikuja kushambulia msafara wa Ghadaf alipokuwa anakimbia Tripoli , Ttzo bado mpo karne ya 15 , dunia ya leo sio ya kuvamiana watu wanatumia udhaifu wenu wanatoa msaada wa silaha kwa aliye tyr kupigana mnadhoofishana wenyew kwa uchiz wenu the same kwa Urusi , China kastukia mchezo
Yap, hii mbinu inatumiwa sana na wamagharibi, but still human presence nayo wanatumia.

Pale Iran, believe me hii mbinu itachemka.
 
Vipi Asad ameondoka?
hawajamuondoa ila unaweza kuona jinsi gani nchi sasa iko vipande vipande. kuna sehemu zinamilikiwa na Serikali, sehemu za Islamic state na kuna sehemu ni patrol za Russia, Marekani na Uturuki, mbali na hivyo sehemu kubwa za nchi ni magofu sasa
 
ilibaki Iran na Urusi ili tukamilishe mipango yetu tulioipanga
hapana, kwa upande wa uchumi na techonojia, China ni tishio sana kwa marekani has ukizingatia anacheza mechi zake kwa akili, mfano ile chokochoko ya Taiwan, mchina angejichanganya angekula vikwazo vingi na kupoteza mitaji yake mingi ilioko nchi za magharibi. kwa sasa shida iko
1. Russia kijeshi
2. China kiuchumi, technolojia na jeshi
3. Iran ki itikadi, na kwa kiasi technolojia na jeshi
4. North korea kijeshi

ugumu wa syria ni mgongo wa Iran na Russia so sio tishio sana
 
hawajamuondoa ila unaweza kuona jinsi gani nchi sasa iko vipande vipande. kuna sehemu zinamilikiwa na Serikali, sehemu za Islamic state na kuna sehemu ni patrol za Russia, Marekani na Uturuki, mbali na hivyo sehemu kubwa za nchi ni magofu sasa
Ndio udhanie kama IRAN itakua kama SYRIA hem acha tuone

Ila IRAN huo ujinga sidhanii kama utafika huko maana mwaka 2009 kulikua namaandamano namachafuko makubwa kuzidi haya

Ila sasa kama hayakuepo vile

Na juzi walivyoadhimisha miaka yao yakuuteka ubalozi wa Us nikajua kama haya maandamano yatapita tuuu

Maana yakuisapoti sirikali yalikua makubwa mara kadhaa kuliko hayo ya Mahsa

Ila tuupe muda nafas yake maana mambo pia hubadilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mipango iliopangwa basi imepangika kweli kweli,
vita ya Syria ilianza kwa mwanafunzi kuchora kwenye bweni la shule akimtuhumu Asad, polisi wakamkamata, watu wakaandamana aachiliwe, maandamano yakageuka vita.

Sasa ni zamu ya Iran
Akili yako ndogo kama punje ya sukari, unafananisha IRAN na Syria!! Yani ukizungumzia IRAN unazungumzia nchi yenye uwezo wa makombora ya kupiga popote duniani kutoka kwake na si ya kununua bali ya kutengeneza wenyewe
 
[emoji16][emoji16][emoji16] hii ndio tofaut yetu sisi na wao , bado ww upo karne ya 15 ils wenzio wapo karne 21 najua hujaelewa , kuingiza jeshi kweny nchi nyingine ni mbinu ya kizaman sana
Wataingiza masleeper ila nikwambie tu hawatafanya lolote na kustaajabisha na wala hawatafanya Yale yaliyotokea Syria usione kila siku Israel anaangaika na Irani ukaifananisha Irani na taifa lolote pale mashariki yakati naona wengi mnatoa mfano wa iraq, Syria au Afghanistan wako tofauti kabisaa kisayansi kielimu kiuchumi kiteknolojia waandamanaji wataandamana ila kupata backup kubwa nje ya nchii wasahau tu vifo vitawapata na kelele kutoka west alafu kimyaaaa kama mymar walichokipata

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom