Waandamanaji Iran waanza kutumia silaha za moto

Kama ni mipango iliopangwa basi imepangika kweli kweli,
vita ya Syria ilianza kwa mwanafunzi kuchora kwenye bweni la shule akimtuhumu Asad, polisi wakamkamata, watu wakaandamana aachiliwe, maandamano yakageuka vita.

Sasa ni zamu ya Iran
[emoji631][emoji1258]huyu dunia nzima anaifanya anavyotaka ni kama anacheza draft tu[emoji456][emoji455][emoji453] mshenzi sana
giphy.gif
 
Iran hawataiwez WATAWEKA VIKWAZO ILA HAKUNA INCHI YOYOTE ITAKAYOTUMA JESHI LAKE KWENDA KUWASAIDIA WANANCHII, WATABEBA SILAHA KAMA ILE YA MYMARI ILA WATAISHIA KUCHAKAZWA NA KUFUNGWAA HAKUNA ATAKAYE WASAIDIA

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
Usiongee hivyo...hayo yakianza Huwa yanaishia pabaya..mara nyingi kupata amani kama ya mwanzo Huwa ni ngumu.....nikuwaombea hao walejee kwenye amani. Marekani ni mpumbavu ni siwapendi...wamevuruga amani sana Duniani... siwapendi kabisaa...
 
Ata kwenye kampeni unatoa rushwa kupata atam ila ukishapata lazima upige vita rushwa tena kwa nguvu kubwa au umesahau nn
Hebu jaribu kutafuta relativity ya unachokisema na mada husika kisha jipige kifuani na ujiite ayatollah mdogo, huenda nyie ndo wadhambi nambari wani hapa duniani.
 
Iran hawataiwez WATAWEKA VIKWAZO ILA HAKUNA INCHI YOYOTE ITAKAYOTUMA JESHI LAKE KWENDA KUWASAIDIA WANANCHII, WATABEBA SILAHA KAMA ILE YA MYMARI ILA WATAISHIA KUCHAKAZWA NA KUFUNGWAA HAKUNA ATAKAYE WASAIDIA

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
Iran iliwahi pata mapinduzi mara mbili, last time 1979 yalianza maandamano. Raia wa Middle East wakiamua serious kuandamana fujo nyingi hutokea.

Iran wanajua kupambana na maandamano ila serikali haipo immune na madhara
 
Kama ni mipango iliopangwa basi imepangika kweli kweli,
vita ya Syria ilianza kwa mwanafunzi kuchora kwenye bweni la shule akimtuhumu Asad, polisi wakamkamata, watu wakaandamana aachiliwe, maandamano yakageuka vita.

Sasa ni zamu ya Iran
Vipi Asad ameondoka?
 
Back
Top Bottom