Waandamanaji Nairobi wavamia jengo la Bunge baada ya kuwashinda nguvu polisi, yasemwa waandamanaji 10 wameuawa kwa kupigwa risasi halisi

Yasemwa vyombo vya usalama vimeapa kuwalaza raia wengi mahospitalini.

Lakini wanotumikia vyombo hivi vya usalama husahau kuwa wana ndugu, jamaa na marafiki ambao wtaathiriwa na kodi hizi lukuki.
Wakenya hawachezewi kama ''maiti'' za kibongo zinazoitwa watanzania. Wameenda mbali zaidi na wanaharibu mali za wabunge wote waliopiga kura ya kuunga mkono.
 
Mpina katolewa nje Tanzania
 
Aisee hivi kodi zikipunguzwa polisi wenyewe hawatanufaika?
Polisi mnapaswa kufanya kazi kwa weledi, siyo sawa kumwaga damu za watu wanaotetea wenzao nanyi mkiwemo.
Ruto alivyowashukru waandamanaji ndo alimaanisha hayo mauaji??? Siyo sawa.
 
Kanuni za maandamano haziruhusu polisi kupiga raia isipokuwa kama raia wametishia maisha na hali ya usalama wao wenyewe na ule wa polisi.

Na pia zipo hatua za kuwadhibiti waandamanaji na ndizo wanazifanya sasa polisi.

Lakini bado polisi kupiga waandamaji ni "last resort".

Tushishabikie tu haya masuala bila kuonyesha uelewa angalau asilimia 60.
 
Aisee hivi kodi zikipunguzwa polisi wenyewe hawatanufaika?
Polisi mnapaswa kufanya kazi kwa weledi, siyo sawa kumwaga damu za watu wanaotetea wenzao nanyi mkiwemo.
Ruto alivyowashukru waandamanaji ndo alimaanisha hayo mauaji??? Siyo sawa.
 
Mfano nimepita hapa round about ya samaki samaki Mwanza ,Sasa bwana nikaona tangazo kuwa unaponunua usipodai risiti una idhulumu nchi yako nikawaza mbona tra hawana kampeni kuwa Kodi za wananchi zitumike vizuri. Hebu waza makamba akasaini mktaba wa kukodi software ya umeme kukatika tokea India kwa bilioni 78. Je hili tra hawalioni Kama ni dhuluma
 
Citizen ni TV ya wajaluo na waandamanaji wengi wajaluo

Ukabila Kenya utawamaliza
Vipi nyie na utanganyika wenu ...
Jiangalie vizuri usikurupuke kuhukumu
 

View: https://twitter.com/Sirjeff_D/status/1805583153773359575?t=9cXvC78w6ldNEMPULcVzIg&s=19
Kenya wazembe sana Wameshindwa kuingiza Jeshi kuweka vizuizi maeneo yote wanayopita hao waandamanaji?

Hawajifunzi Kwa Cyril Ramaphosa alivyowasafisha? Hao ni bangi,wanachoma Bunge ndio finance. bill?
 
Wakenya hawachezewi kama ''maiti'' za kibongo zinazoitwa watanzania. Wameenda mbali zaidi na wanaharibu mali za wabunge wote waliopiga kura ya kuunga mkono.
Young generation ya wakenya ni wasomi na wanatambua kuwa hizi kodi kwa bidhaa mbalimbali kama mkate na sabuni zitaleta matatizo kwa wazazi wao ambao watawalazimisha vijana kutumia pesa nyingi kununua mahitaji hayo ya msingi.

Raisi Ruto apaswa kuangalia kizazi hiki cha sasa.

Senagal vijana nao wameamua kumchagua raisi kijana ili angalau wawe na same level ya uelewa wanapompelekea shida zao.

Afrika Kusini vijana wasomi wameamua kuigawa ANC bungeni ili kuongeza uwajibikaji na kupunguza vitendo vha kifisadi ambavyo chama hicho kimekumbatia.

Sasa young Generation ya Tanzania wapaswa kufikiri kuachana na Uchawa na kulamba viatu na kufikiri kuhusu "future" ya nchi yao na vizazi vyao.

Its about capacity thinking my friend.
 
Hapa usijifiche kwenye ukabila na utanzania wako hapa suala ni kuongezeka kwa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…