Waandamanaji Nairobi wavamia jengo la Bunge baada ya kuwashinda nguvu polisi, yasemwa waandamanaji 10 wameuawa kwa kupigwa risasi halisi

Kama wafanyabishara Tu washaanza kukipata cha moto hapa Tz kwa ongezeko la kodi na manyanyaso ya TRA , na wameanza kufanya migomo wewe subiri tu ,haihitaji Phd ya Aerospace engineering kujua kwamba scenario ya Kenya na Tanzania ni zile zile
 
Ukifika Ubalozi wa Marekani pale Misri unaweza kushangaa mitaro yenye upana wa mita 10+ iliyozunguza eneo lote huku maji hayo yakiwa na umeme, kabla baada ya hapo kuna fence ya umeme hatari...ukiingia kuna rotating automatic m/c gun inayokuwa controlled na allot of cameras. Lakini kipindi cha maandamano ya brotherhood unajua kilichotokea?

Wananchi siyo watu wa mchezo wakishaamua....unakumbuka ile Ikulu iliyofurushwa.
 
Kwa mara nyingine, Polisi wameonesha unyonge wa Waandamanaji. Tusubiri siku wavamie Kambi ya Jeshi wachukue silaha.
 
Waa

Waamanaji wengi wajaluo

Kenya kumekucha ukabila utaiua Kenya
Wacha porojo.., hii maandamano ni ya wakenya wote, ikiongozwa na Generation Z., hawa hawana kiongozi, chama wala kabila, ndio maana imekuwa vigumu kwa serikali kuwadhibiti, wakati wa Raila polisi wangemzuia Raila na maandamano yanaisha nguvu.., hawa serikali haina wa kuzumgumza naye wala kuzuiya, ni Kenya yote..., wote wametoka tazama clips za Eldoret nyumbani kwa Ruto, kumewaka moto!!!!..., ujinga hatutaki nyie bakini na uwoga wenu haswa wewe mr. Porojo..,
 
Hatari hii
 
Wewe ndio umenajisiwa.
 
Umesukumia na hisia za chuki na wivu kwa Kenya ndio maana umeandika uongo peupe.., uliza ujibiwe ama fanya utafiti mwafaka wacha kukurupuka
 
Ujue Nina uhakika kitu naongea

Kenya unaibuka migogoro mkubwa WA kikabila
Tanzania tujiandae kupokea wakimbizi toka Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…