Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifika Ubalozi wa Marekani pale Misri unaweza kushangaa mitaro yenye upana wa mita 10+ iliyozunguza eneo lote huku maji hayo yakiwa na umeme, kabla baada ya hapo kuna fence ya umeme hatari...ukiingia kuna rotating automatic m/c gun inayokuwa controlled na allot of cameras. Lakini kipindi cha maandamano ya brotherhood unajua kilichotokea?Hapana, kwenye nchi ambazo watu wajitambua majengo hayo huwekwa uzio wa mbao na madirisha hukingwa, makaravati na nyenzo zingine ili angalau kupunguza watu kusogea ndani ya parameters za maeneo yote nyeti.
Hali ikirudi kuwa shwari madude hayo huondolewa.
Look, waandamanaji wana haki ya msingi ya kuandamana don't get me wrong lakini kuna ripoti kuwa kuna waandamanaji wengine wameamua kuvunja maduka na kuanza kupora mali.
Ukifanya hivyo waondoa haki yako ya kuandamana na unakuwa ni mhalifu na si muandamanaji.
Kwa mara nyingine, Polisi wameonesha unyonge wa Waandamanaji. Tusubiri siku wavamie Kambi ya Jeshi wachukue silaha.Wameingia bungeni na kushusha Bendera zote ya Taifa, ya Bunge, ya Africa mashariki nk
Wameingia Canteen ya Bunge na kuvunja kila Kitu
Wameingia Studio za Bunge na kuharibu kila Kitu
Wameingia Ukumbi wa Mapumziko na Vikao vya Kamati na kuharibu kila Kitu
Je, Bunge la Kenya halijanajisiwa? 🐼
Nairobi
Wacha porojo.., hii maandamano ni ya wakenya wote, ikiongozwa na Generation Z., hawa hawana kiongozi, chama wala kabila, ndio maana imekuwa vigumu kwa serikali kuwadhibiti, wakati wa Raila polisi wangemzuia Raila na maandamano yanaisha nguvu.., hawa serikali haina wa kuzumgumza naye wala kuzuiya, ni Kenya yote..., wote wametoka tazama clips za Eldoret nyumbani kwa Ruto, kumewaka moto!!!!..., ujinga hatutaki nyie bakini na uwoga wenu haswa wewe mr. Porojo..,Waa
Waamanaji wengi wajaluo
Kenya kumekucha ukabila utaiua Kenya
Picha zitakuja 🐼Picha ni muhimu sana
Mmiliki WA citizen ni mkikuyu punguza uongo.Citizen ni TV ya wajaluo na waandamanaji wengi wajaluo
Ukabila Kenya utawamaliza
Hatari hiiView attachment 3025995
Waandamanaji 10 wanaripotiwa kuuawa na polisi baada ya kuvamia jengo la Bunge la nchi hiyo na kuwashinda nguvu polisi.
Hali kwa sasa ni shwari kidogo baada ya polisi kuongeza nguvu ya idadi katika eneo hilo. Idadi ya watu wapatao 5o wamejeruhiwa na huenda idadi hiyo ikaongezeka.
Sehemu moja ya jengo hilo la Bunge imeshika moto na moto huo bado waendelea.
Tukio hilo limetokea mara tu baada ya Bunge hilo kupitisha mswada wa sheria ya kodi inoongeza kodi katika bidhaa mbalimbali nchini huo.
Raisi Ruto amesema kuongeza kodi huko kutathibiti kukopa mikopo ambayo itaiathiri nchi hiyo kiuchumi.
Yadaiwa kuwa wabunge wengi walopitisha mswada huo wamepokea mlungula ili kurahisisha kupitishwa kwa muswaada huo ambao utaathiri wakenya wengi walo na kipato cha chini, wafanyabiashara na wachuuzi.
Kuna majeruhi wengi ambao wamejeruhiwa kwa risasi ambapo polisi waliamua kutumia nguvu na risasi halisi badala ya risasi za bandia au "rubber bullets".
Muswada huo uitwao Finance Bill 2024 umepitishwa leo asubuhi na wabunge kwa kura zipatazo 295 dhidi ya kura 106 huku kura tatu zikiharibika.
Chama cha Kwanza Alliance cha raisi Turo kina wabunge wengi Bungeni na uwingi wao umerahisisha kupitishwa kwa mswada huo.
Mswada uo hivi sasa upo mezani kwa raisi Ruto ukingojea atie saini kuwa sheria rasmi.
Wewe ndio umenajisiwa.Wameingia bungeni na kushusha Bendera zote ya Taifa, ya Bunge, ya Africa mashariki nk
Wameingia Canteen ya Bunge na kuvunja kila Kitu
Wameingia Studio za Bunge na kuharibu kila Kitu
Wameingia Ukumbi wa Mapumziko na Vikao vya Kamati na kuharibu kila Kitu
Je, Bunge la Kenya halijanajisiwa? 🐼
Nairobi
Umesukumia na hisia za chuki na wivu kwa Kenya ndio maana umeandika uongo peupe.., uliza ujibiwe ama fanya utafiti mwafaka wacha kukurupukaKenya hadi polisi wamegawanyika kikabila na polisi wengi Jaluo ndio maana hawataki kutumia nguvu kubwa kudhibiti Jaluo wenzao wanaandamana
How comes barabara zinafungwa na waandamanaji? Tanzania Jeshi letu hakuna ukabila wangetwangwa kuhakikisha wanaondoka barabarani kupisha shughuli za kiuchumi kwenye barabara ziendelee
Kenya na Jeshi lao hopeless kabisa watatumbukiza Kenya kwenye vita za wenyewe Kwa wenyewe muda si mrefu
Watanzania tuliwasaidia mlipotwangana na ukabila wenu na kuzalisha wakimbizi WA Ndani Kikwete akaja kuwasaidia mnataka kuingia part two ya vita za ukabila wenu wapumbavu nyie muanze tena kutusumbua watanzania tuwaletee msuluhishi
Shenzi type nyie
Sasa ukabila unaingilia wapi? Mojawapo ya issues za haya maandamano ni kumaliza ukabila. Usiongelee usichojuaCitizen ni TV ya wajaluo na waandamanaji wengi wajaluo
Ukabila Kenya utawamaliza
We know a lot about that failed state..that is always fighting for food from January to December.What do you know about Kenya?stop reasoning like a moron and get out of that mentality ya ukabila.
Sawa Gen Z kaandamane uuawe.Sasa ukabila unaingilia wapi? Mojawapo ya issues za haya maandamano ni kumaliza ukabila. Usiongelee usichojua
Umesukumia na hisia za chuki na wivu kwa Kenya ndio maana umeandika uongo peupe.., uliza ujibiwe ama fanya utafiti mwafaka wacha kukurupukaKenya hadi polisi wamegawanyika kikabila na polisi wengi Jaluo ndio maana hawataki kutumia nguvu kubwa kudhibiti Jaluo wenzao wanaandamana
How comes barabara zinafungwa na waandamanaji? Tanzania Jeshi letu hakuna ukabila wangetwangwa kuhakikisha wanaondoka barabarani kupisha shughuli za kiuchumi kwenye barabara ziendelee
Kenya na Jeshi lao hopeless kabisa watatumbukiza Kenya kwenye vita za wenyewe Kwa wenyewe muda si mrefu
Watanzania tuliwasaidia mlipotwangana na ukabila wenu na kuzalisha wakimbizi WA Ndani Kikwete akaja kuwasaidia mnataka kuingia part two ya vita za ukabila wenu wapumbavu nyie muanze tena kutusumbua watanzania tuwaletee msuluhishi
Shenzi type nyie
HafiSawa Gen Z kaandamane uuawe.
True...amekosa hekima kabisaUmesukumia na hisia za chuki na wivu kwa Kenya ndio maana umeandika uongo peupe.., uliza ujibiwe ama fanya utafiti mwafaka wacha kukurupuka
Umesukumia na hisia za chuki na wivu kwa Kenya ndio maana umeandika uongo peupe.., uliza ujibiwe ama fanya utafiti mwafaka wacha kukurupukaKenya hadi polisi wamegawanyika kikabila na polisi wengi Jaluo ndio maana hawataki kutumia nguvu kubwa kudhibiti Jaluo wenzao wanaandamana
How comes barabara zinafungwa na waandamanaji? Tanzania Jeshi letu hakuna ukabila wangetwangwa kuhakikisha wanaondoka barabarani kupisha shughuli za kiuchumi kwenye barabara ziendelee
Kenya na Jeshi lao hopeless kabisa watatumbukiza Kenya kwenye vita za wenyewe Kwa wenyewe muda si mrefu
Watanzania tuliwasaidia mlipotwangana na ukabila wenu na kuzalisha wakimbizi WA Ndani Kikwete akaja kuwasaidia mnataka kuingia part two ya vita za ukabila wenu wapumbavu nyie muanze tena kutusumbua watanzania tuwaletee msuluhishi
Shenzi type nyie
Ujue Nina uhakika kitu naongeaUmesukumia na hisia za chuki na wivu kwa Kenya ndio maana umeandika uongo peupe.., uliza ujibiwe ama fanya utafiti mwafaka wacha kukurupuka