Dini isiyoweza kujisimamia yenyewe hadi idandie hoja za dini nyingine 🤔🤔🤔Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kwa jina lake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Maandiko yote ya kidini Biblia na Quran ni hekaya za kutungwa na watu tu. Ndio maana zimejaa contradictions.
Kujaribu kukosoa Biblia kuhalalisha ukweli wa Quran ni kujidanganya tu.
Kujaribu kukosoa Quran kuhalalisha ukweli wa Biblia ni kujidanganya tu.
Waandishi WOTE wa Biblia na Quran ni VILAZA.
Biblia na Quran zote zina logical inconsistencies.
Hakuna kitabu chochote chenye ukweli ulio na logical consistency.
Mudi kamuiga Yesu.Nani kamuiga mwenzake?.
Ulikuwepo ?Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Yesu alitamka AllahSwali langu ni kwamba ;
Kama angetamka ALLAH maana yake ni nini ?
Biblia na Quran zote zina logical inconsistencies
samahani ndugu usipotoshe, Allah ni ismul-jalaal. subhaana maana yake ametakasika bimaana Allah yupo free from any kind of shame na madhaifu halali, hapatwi na njaa, hafi [kama yule wa msalabani], hadhulumu, hapitwi na lolote.Allah subhana wataalah ana majina 99 miongoni mwa hayo majina ni 1.Al Ghaan 2.Al baal 3.Al qabidh....Kama ungekuwa unajua maana ya haya majina ndio ungejua YESU hawezi kumtaja Subhana wataalah hata sekunde moja...Wewe utakuja kumjua mola wako baadae Sana..Kingine Allah ni cheo sio Jina..Jina ni kama subhana wataalah...Ni kama vile useme Rais.
Cc hamis77
Kwa nini uhitaji imani ya mambo hayo badala ya maarifa yenye ukweli?Mkuu maneno yasio ya Asili binadamu lazima yawe na contradiction...ili uyaelewe lazima ikae mkao wa kuyakubali,,kuyafuatilia na kujenga Imani .
we jamaa ulieleta uzi bwana Wazolee unaona matokeo yake? mwishowe inaonekana kwamba uislamu haujitoshelezi mpaka hoja za kwenye bible. nakusihi ndugu yangu katika imani isome dini yako hii minaaqasha ya Jf itakutoa katika mstari coz mwishowe utakuwa unatafuta hoja google. Qur-an inajitoshelezaDini isiyoweza kujisimamia yenyewe hadi idandie hoja za dini nyingine
Mungu wa Yesu ndio Mungu wa mtume Muhammad na ndio Mungu wa waislam na jina lake ni AllahNgoja nifikirie kama unavyofikiri ww.
Sawa Yesu alimwita Allah.
Kwahiyo Mungu wa Mtume Mohamed ndio huyo huyo Mungu wa Yesu.
Na ndio Mungu wa Wakristo na ndio Mungu wa Waislamu.