yani mimi wakupoteza mda wangu kuisoma bibilia?! Au umenichanganya mimi na mleta madaNioneshe Yehova,, Elohim nk katika majina 99 ya Allah subhana wataalah..Kama huyajui uombe waislam wenzio wakuonyeshe...Au niambie Jina lolote Kati ya Yale 99 ulilowahi libahatisha kwenye bible ukiacha baal...
Mkuu, Allah ni Cheo, jina ni Allahu, na huyo ndio mungu wao.Allah subhana wataalah ana majina 99 miongoni mwa hayo majina ni 1.Al Ghaan 2.Al baal 3.Al qabidh....Kama ungekuwa unajua maana ya haya majina ndio ungejua YESU hawezi kumtaja Subhana wataalah hata sekunde moja...Wewe utakuja kumjua mola wako baadae Sana..Kingine Allah ni cheo sio Jina..Jina ni kama subhana wataalah...Ni kama vile useme Rais.
Cc hamis77
Imani inaanzia kusoma kitabu upate maarifa yakuletee transformation of your mind na Ile transformation ndio itakusaidia kuthibitisha...Kwanza thibitisha Mungu yupo na si imani zako za vitabuni tu.
Hakuna anayekulazimisha ila unafundishwa umjue Mungu wa kweli aliyekuumbaKwa nini mnatulazimisha kwamba Mungu wenu ni wa kwetu? Hatujawahi kuwalazimisha aisee.
1. Yesu
2. Baba
3. Roho mtakatifu
Hiyo yote ni Miungu ya wakristo
Kama wanajukwaa wengi watakuwa na msimamo kama wako hili jukwaa litapumzika na mijadala ya dini kila siku...Kuna msikiti uko mtaani kwetu.Mawaidha hata yawe masaa mawili hutosikia imam kataja ukristo popote..Ndio naamini waislam mna mambo mengi ya kuelekezana kuliko mambo yalio nje ya uislam.yani mimi wakupoteza mda wangu kuisoma bibilia?! Au umenichanganya mimi na mleta mada
Mkuu kama wewe ni mkristo na unaamini kuwaHuyo Roho na Baba je ni Mungu mmoja?.
Hapa Quran inasema Roho ilitumwa kwa Maryam
Quran 19 :16-17
16. Na mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alipo jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki. 16
17. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu.
Inaitwa Taqqiya. Kusema uwongo ili kuinusuru dini.Uislamu una cheap propaganda sana, nashukuru Yesu kunitoa huko
Tulikuwa tunaenda kwenye mihadhara tunapindisha Aya na maandiko ya Biblia ili tu kuonesha uislamu ulikuwepo kabla ,Yesu anisamehe
Hichi wanachofanya Leo Huwa naishia kucheka tu
Yah ndio hivo, wakikukuta mkristo jina lazima wakubebe maana unakuta wakristo wengi mpaka Mchungaji, au padri ndiye amsomee maandikoInaitwa Taqqiya. Kusema uwongo ili kuinusuru dini.
Sasa sheikh, mimi nataka kujua hiyo kuna kitu inabadilisha kuhusu Mungu auYesu alitamka Allah
Uliza hivi kama wandishi wa Bibilia wangeandika Yesu alitamka Allah maana yake ingekuwa ni Nini?
Maana yake ni kwamba wewe ungejua kuwa Mungu wa Yesu anaitwa Allah
Mkuu kama wewe ni mkristo na unaamini kuwa
Mungu ni mmoja tu
Yesu sio Mungu Wala mtoto wa Mungu ila kiumbe kilichoumbwa na Mungu
Roho mtakatifu sio Mungu ila ni kiumbe kilichoumbwa na Mungu
Basi karibu katika uislam maana uislam ndio unafundisha hivyo
Unapapasa mkono huku umefumba macho ili uushike moto.Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Unaona SasaNadhan sio kosa kuamin Roho wa Mungu.
Maana apo tunaona Roho alifanyika mwili
Unathibitishaje hilo neno ulilosikia ni imani ya ukweli na si uongo?Maana yangu ni kwamba Imani huja Kwa kusikia neno Hilo neno ndio maarifa yanayokujengea Imani..
Ulisema Hakuna MUNGU kuna maneno uliyasikia yakakupa hayo maarifa na ukayaamini.Maana uliyaona ni ya ukweli.
exactly, utamkuta mtu misuli ya shingo imemtoka, halafu hana hata nusu ya Quran ambacho ndicho kitabu chake,Kama wanajukwaa wengi watakuwa na msimamo kama wako hili jukwaa litapumzika na mijadala ya dini kila siku...Kuna msikiti uko mtaani kwetu.Mawaidha hata yawe masaa mawili hutosikia imam kataja ukristo popote..Ndio naamini waislam mna mambo mengi ya kuelekezana kuliko mambo yalio nje ya uislam.
Kudhitisha unatafuta njia za kuthibitisha.Kila Imani ina guidance ya unseen spirit.. Your eyes should be opened to see and take further step.Unathibitishaje hilo neno ulilosikia ni imani ya ukweli na si uongo?
Kama wewe ni mkristo na unaamini kuwa Mungu ni mmoja tu na huyo Mungu anaitwa Allah na Yesu alitumwa na huyo Mungu mmojaKwani Allah si ndio Mungu au Allah ni nini?Ukristo unaamini uwepo wa Mungu mmoja(tofauti na hapo hiyo mingine ni miungu).Kama Allah ni Mungu basi hakuna shida Yesu kutaja Allah au wakristo hawatakuwa na shida kwenye hilo