daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,479
- 3,405
Mungu kwa Kigiriki ni TheosJee kama new testament iliandikwa kwa Kigiriki jee mungu kwa kigiriki anaitwaje ? na jee Yesu akiongea kigiriki ??
Yesu hakuongea Kigiriki
Mungu kwa Kigiriki ni TheosJee kama new testament iliandikwa kwa Kigiriki jee mungu kwa kigiriki anaitwaje ? na jee Yesu akiongea kigiriki ??
Mungu kwa Kigiriki ni Theos
Yesu hakuongea Kigiriki
Nimetaja Yesu hapo?Kwa hivyo wao yesu humuita ni theos ? kama hakuongea kigiriki inakuwaje tena tukaambiwa , Eloi Eloi lamma sabbakhtani ni mungu wangu mungu wangu na isiandikwe Theos theos lamma sabbakhtani ?
mimi nimeuliza au hujaona alama ya kuuliza ??Nimetaja Yesu hapo?
Iēsoûs