MJOMBA MELCHIZEDEK, MUNGU WA NNE WA WAKRISTO
Hebrew 7:3
Yeye hana baba wala mama wala ukoo; hana mwanzo wala hana mwisho, bali kama alivyo Mwana wa Mungu, yeye adumu kuwa kuhani milele.
Wajinga tu ndio wanahangija na lugha kuhalalisha imani , hiyomi lugha tu ni kama wewe unavyo muita mungu kwa kimatumbi.Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Biblia ipi kati ya maelfu ya biblia tofauti?Ushasema Biblia
Then unasema kiarabu
Biblia haitambui kiarabu itatambuaje allah
Nyie vipi
Uongo, uzushi, uzwazwa, kutapatapa, ujinga, kuishiwa, ushirikina ad infinitum.Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Braza mbona unauliza maswali magumu hivyo?Swali langu ni kwamba ;
Kama angetamka ALLAH maana yake ni nini ?
We jua hakuna kiarabu kwenye Biblia periodBiblia ipi kati ya maelfu ya biblia tofauti?
Sasa jibu swaliWe jua hakuna kiarabu kwenye Biblia period
Msitake kulazimisha mambo
Hakuna kiarabu kwenye biblia kobazi we pambaneni na kiarabu chenu na allah wenu si hatumtambuiSasa jibu swali
Biblia ipi kati ya maelfu ya biblia tofauti? KJV, NKJV, Douay, AV , NI V, Queen James Version, Satanic Bible au maelfu ya biblia tofauti?
Si kipo kisukuma na kinamtambua Yesu msukuma au vipi ?Hakuna kiarabu kwenye biblia kobazi we pambaneni na kiarabu chenu na allah wenu si hatumtambui
Mpe elimu huyo mtoto mdogoAllah subhana wataalah ana majina 99 miongoni mwa hayo majina ni 1.Al Ghaan 2.Al baal 3.Al qabidh....Kama ungekuwa unajua maana ya haya majina ndio ungejua YESU hawezi kumtaja Subhana wataalah hata sekunde moja...Wewe utakuja kumjua mola wako baadae Sana..Kingine Allah ni cheo sio Jina..Jina ni kama subhana wataalah...Ni kama vile useme Rais.
Cc hamis77
Hivi kablar watu kuwa na lugha nyingi ni lugha gani waliongea ?Hakuna kiarabu kwenye biblia kobazi we pambaneni na kiarabu chenu na allah wenu si hatumtambui
Allah ni kiarabu, Yesu alikuwa anaongea kiarabu?Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Elloi ,Elloi lamma sabbakhtani , hiyo ni lugha ipi ?Allah ni kiarabu, Yesu alikuwa anaongea kiarabu?
"Elloi, Elloi, lamma sabbakhtani" is Aramaic, a Semitic language. It's a phrase famously spoken by Jesus on the cross in the New Testament, meaning "My God, my God, why have you forsaken me?"Elloi ,Elloi lamma sabbakhtani , hiyo ni lugha ipi ?
"Elloi, Elloi, lamma sabbakhtani" is Aramaic, a Semitic language. It's a phrase famously spoken by Jesus on the cross in the New Testament, meaning "My God, my God, why have you forsaken me?"
The original texts of the Bible were written in three main languages:kwani biblia original iliandikwa kwa lugha gani ??
The original texts of the Bible were written in three main languages:
Old Testament: Primarily Hebrew, with some portions in Aramaic (especially in books like Daniel and Ezra).
New Testament: Primarily Koine Greek (a common form of Greek spoken during that period).