Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake

Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake

MJOMBA , MELCHIZEDEK MUNGU WA NNE WA BIBLIA


Biblia pia inasema kwamba Yesu alipaswa kuwa “sawasawa na Melkizedeki.” Na Melkizedeki ni nani?

Kulingana na Biblia, alikuwa kuhani mkuu wa Wayahudi ambaye alikuwa “hana baba wala mama,” na “hana mwanzo wala mwisho” (Mwanzo 14:18, Zaburi 110:4, Waebrania 5:6-10, Waebrania 7:1-20).

Yesu alipaswa kufanana naye na kwenda sambamba naye;


Hakuna sehemu yoyote katika BIBLIA YOTE tunapopata maandiko yanayosema Yesu hana mwanzo wala mwisho.

Ni kwa MUNGU Mwenyezi tu tunapata hivyo, na kwa “mjomba” Melkizedeki.
Screenshot_2025-09-05-06-16-59-193_com.google.android.googlequicksearchbox~2.jpg
 
Quran haijamuiba MJOMBA MELCHIZEDEK, MUNGU WA NNE WA WAKRISTO


Hebrew 7:3

Yeye hana baba wala mama wala ukoo; hana mwanzo wala hana mwisho, bali kama alivyo Mwana wa Mungu, yeye adumu kuwa kuhani milele.
Screenshot_2025-09-05-06-18-02-893_com.google.android.googlequicksearchbox~2.jpg
 
Kwa uelewa wako kiarabu ndo uislam, duh bora nipo huru kwenye utumwa wa fikra uo wa kidini
 
Allah subhana wataalah ana majina 99 miongoni mwa hayo majina ni 1.Al Ghaan 2.Al baal 3.Al qabidh....Kama ungekuwa unajua maana ya haya majina ndio ungejua YESU hawezi kumtaja Subhana wataalah hata sekunde moja...Wewe utakuja kumjua mola wako baadae Sana..Kingine Allah ni cheo sio Jina..Jina ni kama subhana wataalah...Ni kama vile useme Rais.
Cc hamis77
Hapa sio rahisi kuelewa.
 
Quran haijamuiba MJOMBA MELCHIZEDEK, MUNGU WA NNE WA WAKRISTO


Hebrew 7:3

Yeye hana baba wala mama wala ukoo; hana mwanzo wala hana mwisho, bali kama alivyo Mwana wa Mungu, yeye adumu kuwa kuhani milele.
Screenshot_2025-09-05-06-17-10-792_com.google.android.googlequicksearchbox~2.jpg
 
Back
Top Bottom