Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake

Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake

Mungu wa Yesu ndio Mungu wa mtume Muhammad na ndio Mungu wa waislam na jina lake ni Allah

Ila Mungu wa wakristo ni tafauti

Wakristo Wengine Mungu wao Yesu

Wakristo Wengine Wana Mungu 3

Wakristo Wengine Mungu wao ana mtoto anaitwa Yesu

Hebu nitajie hao Mungu wengine wawili wa Wakristo.

1.Yesu
2.
3.
 
Mkuu Imani huja Kwa kusikia neno la MUNGU
Kwa nini uhitaji imani ya Mungu badala ya uthibitisho wa Mungu?

Tutahakikisha vipi hiyo imani yako ya Mungu ni ukweli?

Maana kwa imani, unaweza kuamini hata uongo.

Sasa thibitisha imani ya Mungu ni ukweli.

Kwanza thibitisha Mungu yupo na si imani zako za vitabuni tu.
na Hilo neno ndio maarifa yenye ukweli..Maana ukweli unapatikana Kwa kuutafuta
Ukweli una logical consistency.

Ukweli una uthibitisho na uhakika.

Imani inaweza kuwa hata ya uongo.

Kama huyo MUNGU wako ni ukweli, kwanza mthibitishe yupo.
 
Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani

Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya

names for God are from Hebrew sources,

El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")

Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi

ELOHIM
ELOH....
ALAH

Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah

Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu Hiyo hoja ya Golden Gate imewathibitishia wengi imani ya Ukristo kuwa Yesu Kristo ni Mkombozi aliyeamuliwa na Mungu. Kwa kweli, ni ushahidi wa kihistoria na kiroho unaoonyesha kwamba mafundisho ya Yesu hayajazuiliwa wala kubadilika, bali yameendelea kuhimili vizingiti vyote. Badala ya kubadilisha mada, bora ujitathmini na ukubali ukweli unaoonyesha nguvu na uthabiti wa imani ya Kikristo.

Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba

Wazungu watu wabaya sana
Kwanza, jina Eloi alilolitumia Yesu msalabani si kosa wala kubadilisha jina, bali ni tafsiri ya Eli (קֵאלִי) kwa lahaja ya Kiaramu, lugha aliyotumia Yesu kwa sehemu kubwa ya maisha yake.

Kiaramu ilikuwa lugha ya kawaida ya Wayahudi wengi wakati huo, na "Eloi" maana yake ni Mungu wangu. Ndiyo maana hata andiko la Mathayo 27:46 linatafsiri wazi kabisa Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

Sasa unapojaribu kulazimisha kuwa Yesu alikuwa anasema "Eloh" au "Allah", hapo ndipo unapochanganya lugha, historia, na muktadha.

Kumbuka, Elohim ni wingi wa heshima wa neno Eloah, si jina maalum kama "Allah" mungu wa Kiarabu. Vile vile, jina la Allah halikuwa linalotumiwa na Wayahudi au Wakristo kabla ya Uislamu.

Hivyo, kusema kwamba Yesu alimaanisha "Allah" ni kuchukua maneno ya Biblia na kuyasukuma kwenye muktadha wa Kiislamu kimakosa.

Waislamu acheni HIZI CHEAP PROPAGANDA
 
samahani ndugu usipotoshe, Allah ni ismul-jalaal. subhaana maana yake ametakasika bimaana Allah yupo free from any kind of shame na madhaifu halali, hapatwi na njaa, hafi [kama yule wa msalabani], hadhulumu, hapitwi na lolote.
Nioneshe Yehova,, Elohim nk katika majina 99 ya Allah subhana wataalah..Kama huyajui uombe waislam wenzio wakuonyeshe...Au niambie Jina lolote Kati ya Yale 99 ulilowahi libahatisha kwenye bible ukiacha baal...
 
Waandishi wa Biblia wangemjuaje huyo Allah wakati muda walioandika Qurani wala Muhammadi hawakuwepo hapa duniani ?

Kuwaelimisha Waislam inabid uende nao taratibu na maswali mepesi mepesi na kuna sehem wataona wenyewe jinsi gan Uslam ulivyosetiwa.

Uislam ni dini iliyoundwa kijanja kijanja. Evidence nying ziko na wanazijua sema kwasababu ya Iman wanashupaza shingo
 
Waandishi wa Biblia wangemjuaje huyo Allah wakati muda walioandika Qurani wala Muhammadi hawakuwepo hapa duniani ?
Uislamu una cheap propaganda sana, nashukuru Yesu kunitoa huko

Tulikuwa tunaenda kwenye mihadhara tunapindisha Aya na maandiko ya Biblia ili tu kuonesha uislamu ulikuwepo kabla ,Yesu anisamehe

Hichi wanachofanya Leo Huwa naishia kucheka tu
 
Allah subhana wataalah ana majina 99 miongoni mwa hayo majina ni 1.Al Ghaan 2.Al baal 3.Al qabidh....Kama ungekuwa unajua maana ya haya majina ndio ungejua YESU hawezi kumtaja Subhana wataalah hata sekunde moja...Wewe utakuja kumjua mola wako baadae Sana..Kingine Allah ni cheo sio Jina..Jina ni kama subhana wataalah...Ni kama vile useme Rais.
Cc hamis77
Kwa nini Mungu awe na majina 99 yote katika lugha moja huona nalo tatizo
 
Kuwaelimisha Waislam inabid uende nao taratibu na maswali mepesi mepesi na kuna sehem wataona wenyewe jinsi gan Uslam ulivyosetiwa.

Uislam ni dini iliyoundwa kijanja kijanja. Evidence nying ziko na wanazijua sema kwasababu ya Iman wanashupaza shingo
Upo sahihi ,kwanza Huwa wanaisoma biblia ili waikosoe ,nakupa Siri Sisi tuliokuwa huko ,Huwa tulikuwa tunakutana na ukweli unakuchoma kabisa

Kuna imam kabisa aliamua kuuacha uislamu,wengine ndio hivo wanaamua kufa na tai shingoni

Uislamu umesetiwa vizuri sana ukienda nao taratibu ,wakikaa peke Yao wanaona kabisa hapa tulipigwa
 
Waandishi wa Biblia wangemjuaje huyo Allah wakati muda walioandika Qurani wala Muhammadi hawakuwepo hapa duniani ?
Bibilia mnazotumia king James version zimeandikwa miaka ya 1900
 
Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani

Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya

names for God are from Hebrew sources,

El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")

Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi

ELOHIM
ELOH....
ALAH

Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah

Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba

Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba

Wazungu watu wabaya sana
Hahahahahahahaha😂😂😂
 
Kwanza ni Wazi unakubali Yesu alisulubiwa ,

Baada ya dakika mbili mbele utakuja kusema hakusulubiwa😂🙌

Uislamu ni dini ya propaganda sana ,haiwezi kujisimamia ni dini kiwete

Kwanza Kuhusu jina Allah, hilo lilitumika na Waarabu wa kipagani kabla ya Uislamu kumrejelea mungu mkuu miongoni mwa masanamu yao, likiwa tofauti na Elohim wa Kiebrania.

Hivyo basi, siyo tu kwamba jina "Allah" halimo katika maandiko ya kale ya Biblia, bali pia halina uhusiano wowote na Mungu wa Ibrahimu kama alivyojifunua kwa Wayahudi na Wakristo.

Tafakari kwa makini kabla hujachanganya lugha, historia, na imani ili kutengeneza hoja ya kubuni

Biblia haijabadilishwa hata kidogo, na tuna maelfu ya manuscript za kale za Biblia, baadhi zikiwa karne ya pili kabla ya Kristo (BC), kama vile Dead Sea Scrolls (karibu 150 BC) ambazo zina vitabu vya Agano la Kale vilivyoandikwa kabla hata Yesu hajazaliwa.

Tuna pia Codex Sinaiticus (karne ya 4 AD), Codex Vaticanus (karne ya 4 AD), na Codex Alexandrinus (karne ya 5 AD) hizi ni nakala kamili au karibu kamili za Biblia ya Kigiriki.

Kwa ujumla, zipo zaidi ya manuscript 5,800 za Kigiriki, 10,000 za Kilatini, na zaidi ya 15,000 kwa lugha nyingine – jumla ya zaidi ya 30,000, zote zikithibitisha ujumbe uleule.

Kwa upande wa Qur’an, hakuna hata manuscript ya Uthman iliyo hai leo yale maandiko wanayodai ni ya Uthman si kamili, na baadhi yana tofauti za maandiko, jambo linaloweka mashaka katika uhifadhi wa Qur’an. .
 
Bibilia mnazotumia king James version zimeandikwa miaka ya 1900
Biblia haijabadilishwa hata kidogo, na tuna maelfu ya manuscript za kale za Biblia, baadhi zikiwa karne ya pili kabla ya Kristo (BC), kama vile Dead Sea Scrolls (karibu 150 BC) ambazo zina vitabu vya Agano la Kale vilivyoandikwa kabla hata Yesu hajazaliwa.

Tuna pia Codex Sinaiticus (karne ya 4 AD), Codex Vaticanus (karne ya 4 AD), na Codex Alexandrinus (karne ya 5 AD) hizi ni nakala kamili au karibu kamili za Biblia ya Kigiriki.

Kwa ujumla, zipo zaidi ya manuscript 5,800 za Kigiriki, 10,000 za Kilatini, na zaidi ya 15,000 kwa lugha nyingine – jumla ya zaidi ya 30,000, zote zikithibitisha ujumbe uleule.

Kwa upande wa Qur’an, hakuna hata manuscript ya Uthman iliyo hai leo yale maandiko wanayodai ni ya Uthman si kamili, na baadhi yana tofauti za maandiko, jambo linaloweka mashaka katika uhifadhi wa Qur’an.
 
Kwa nini uhitaji imani ya mambo hayo badala ya maarifa yenye ukweli?
Maana yangu ni kwamba Imani huja Kwa kusikia neno Hilo neno ndio maarifa yanayokujengea Imani.. Ulisema Hakuna MUNGU kuna maneno uliyasikia yakakupa hayo maarifa na ukayaamini.Maana uliyaona ni ya ukweli.
 
Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani

Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya

names for God are from Hebrew sources,

El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")

Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi

ELOHIM
ELOH....
ALAH

Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah

Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba

Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba

Wazungu watu wabaya sana
Kwa nini mnatulazimisha kwamba Mungu wenu ni wa kwetu? Hatujawahi kuwalazimisha aisee.
 
Kamwe kokoto haifananishwi na dhahabu endelea kushupaza shingo Wenzio wairani Wanaokoka mpaka sasa wamefikia MILION 7 wanaomjua YESU CHRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI YESU MLINDE AYATOLLAH awalinde wakristo wa iran
 
Back
Top Bottom