Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake

Lugha unaijua vizur kweli? Hpo kawakana vip?
Subhana wataalah ni mungu wenu nyie waislam na wale viumbe wachafu waliokata tamaa Majini...Tena ameshaanza kuwakana Kwa kauli yake ""Sikuwaumba binadamu WAla majini ILA waniabudu"" Wewe hujui unachokiabudu..waA
 
Imani inaanzia kusoma kitabu upate maarifa yakuletee transformation of your mind na Ile transformation ndio itakusaidia kuthibitisha...
Utathibitisha vipi hicho ulichosoma kwenye kitabu ni ukweli na si uongo maana kuna vitabu vya hadithi pia?

Utathibitisha vipi kitabu ulichosoma kina ukweli wenye logical consistency na si hadithi za Alinacha tu?
 
Wanamjua yesu kuliko Mungu hao .
Yaani dini ya ukristo Ina mapungufu kibao ambao mtu mwenye akili lazima ashtuke
Mungu wa Yesu ndio Mungu wa mtume Muhammad na ndio Mungu wa waislam na jina lake ni Allah

Ila Mungu wa wakristo ni tafauti

Wakristo Wengine Mungu wao Yesu

Wakristo Wengine Wana Mungu 3

Wakristo Wengine Mungu wao ana mtoto anaitwa Yesu
 
Kudhitisha unatafuta njia za kuthibitisha.Kila Imani ina guidance ya unseen spirit.. Your eyes should be opened to see and take further step.
Kwanza hujathibitisha ukweli wa imani yako, Halafu unataka tutumie guidance za imani hiyohiyo kuthibitisha.

Yani ni sawa na kutumia uongo kutetea uongo.
 
Rashidi a.k.a Chidi

ABdalah a.k.a Dulla

Ni swala la Nivk names tu ila Jina halisi ni MUNGU hayo mengine ni A.k.A za bwana Mkubwa.

Mungu muite utakavyo ila Jina lake litabaki kuwa 1 ambalo ni MUNGU.
 
Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani

Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya

names for God are from Hebrew sources,

El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")

Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi

ELOHIM
ELOH....
ALAH

Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah

Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba

Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba

Wazungu watu wabaya sana
Mada za waislamu huwa ni low IQ sana ...yesu alikuja kabla ya muhammad na alikili kuwa mitume wa agano la kale na kulikili agano la kale sasa tatizo ni nini ...uislamu wa muhammad ni kitu kipya
 
Kama wewe ni mkristo na unaamini kuwa Mungu ni mmoja tu na huyo Mungu anaitwa Allah na Yesu alitumwa na huyo Mungu mmoja

Basi karibu katika uislam maana hayo ndio mafundisho ya uislam
Mungu ni mmoja man tofauti na hapo hiyo itakuwa miungu au hakuna Mungu kabisa.It is written in the bible,there is only one God(the creator of heaven and earth).
 
Hakuna anayekulazimisha ila unafundishwa umjue Mungu wa kweli aliyekuumba

Ukisha mjua ni uamuzi wako umuabudu au uendelee kuabudu masanamu ya kirumi

Kama kweli wewe unamjua Mungu aliyekuumba jibu haya maswali

1) Mungu wako aliyekuumba ni nani?

2) Mungu aliyemuumba Yesu anaitwa nani?

3) Mungu wa Maria mama yake Yesu anaitwa nani?
Niliyenae ananitosha. Acheni kubeza vya wenzenu. Na pia sio vizuri kukashifu vya wenzako maana mashindano yakianza huwa kunafikia level ya kutusi halafu sio vizuri kabisa.
 
Mada za waislamu huwa ni low IQ sana ...yesu alikuja kabla ya muhammad na alikili kuwa mitume wa agano la kale na kulikili agano la kale sasa tatizo ni nini ...uislamu wa muhammad ni kitu kipya
Hakuna mtu yoyote mwenye IQ akaambiwa Mungu wako alizaliwa tarehe 25 Dec akakubali zaidi yako wewe mwenye IQ ya 0.00000000001
 
Yesu alitamka Allah
Uliza hivi kama wandishi wa Bibilia wangeandika Yesu alitamka Allah maana yake ingekuwa ni Nini?

Maana yake ni kwamba wewe ungejua kuwa Mungu wa Yesu anaitwa Allah
Yes alitamka allah wapi? No books no records zinasema hivyo
Ulichoandika ni collective speculation na left narratives but no where
 
Niliyenae ananitosha. Acheni kubeza vya wenzenu. Na pia sio vizuri kukashifu vya wenzako maana mashindano yakianza huwa kunafikia level ya kutusi halafu sio vizuri kabisa.

Kama kweli wewe unamjua Mungu aliyekuumba jibu haya maswali acha porojo

1) Mungu wako aliyekuumba ni nani?

2) Mungu aliyemuumba Yesu anaitwa nani?

3) Mungu wa Maria mama yake Yesu anaitwa nani?
 
Unaona Sasa
Hakuna mkristo anayeamini kuwa Mungu ni mmoja tu
Mungu zaidi ya Mmoja ni msingi wa ukristo aka upagani

Kwani wewe roho yako imetoka wapi?

Au haujui kuwa roho ilifanyika mwili ndio ukawa wewe na roho zote ni mali ya Mungu

Hapo sio Miungu watatu.
Roho yangu imeubwa na Mungu.

Ila Mungu ana roho yake pia ambayo ni kubwa na takatifu zaid ya hii.
 
Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani

Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya

names for God are from Hebrew sources,

El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")

Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi

ELOHIM
ELOH....
ALAH

Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah

Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba

Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba

Wazungu watu wabaya sana
...Kwa hiyo Mwenyewe unajiona Umesoma Sana Hadi kugundua jambo ambalo Manabii Hawakuliona! Pole..
 
Hakuna mtu yoyote mwenye IQ akaambiwa Mungu wako alizaliwa tarehe 25 Dec akakubali zaidi yako wewe mwenye IQ ya 0.00000000001
Kilicho zaliwa ni mwili siyo nafsi
 
Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani

Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya

names for God are from Hebrew sources,

El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")

Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi

ELOHIM
ELOH....
ALAH

Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah

Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba

Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba

Wazungu watu wabaya sana
Allah ni mungu mwingine kabisa sio Eloi wala Yehova (ambaye ni Yahwe-YWHW).
 
Shida ni ipi rugha au mkutadha wa neno lenyewe
 
1754132394330.jpeg
kitabu muhimu sana kusoma
Amazon.com
 
Nikionaga mada kama hizi huwa nashawishika kusema dini zote mbili zinamchukulia mungu poa (hazimjui)
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Kama wewe unakubali kuwa Mungu wa Yesu anaitwa Allah basi karibu katika uislam
Ahsante sana kiongozi nimekuelewa , ila kichwa changu mimi kwa sasa siwezi kuelewa misamiati ya kiarabu kwakweli labda kama kuna namna nyingne, nieleweshe zaidi
 
Back
Top Bottom