Halafu uwaambie na makobazi ukweli kwamba katika hayo majina 99 kuna ambayo yanatumika kwenye usihiri pia uwaambie kuna koo 99 za majini.Ahsante.Allah subhana wataalah ana majina 99 miongoni mwa hayo majina ni 1.Al Ghaan 2.Al baal 3.Al qabidh....Kama ungekuwa unajua maana ya haya majina ndio ungejua YESU hawezi kumtaja Subhana wataalah hata sekunde moja...Wewe utakuja kumjua mola wako baadae Sana..Kingine Allah ni cheo sio Jina..Jina ni kama subhana wataalah...Ni kama vile useme Rais.
Cc hamis77
dini zimeleta mpasuko wa muda mrefu sanaNikionaga mada kama hizi huwa nashawishika kusema dini zote mbili zinamchukulia mungu poa (hazimjui)
Ni kwamba hawatosheki na mungu wao Allah:Kwa nini mnatulazimisha kwamba Mungu wenu ni wa kwetu? Hatujawahi kuwalazimisha aisee.
Mbona sisi hatutumii nguvu yoyote kukanusha kuwa Uzza, Lutta na Manata ni watoto wa Allah?Mkuu kama wewe ni mkristo na unaamini kuwa
Mungu ni mmoja tu
Yesu sio Mungu Wala mtoto wa Mungu ila kiumbe kilichoumbwa na Mungu
Roho mtakatifu sio Mungu ila ni kiumbe kilichoumbwa na Mungu
Basi karibu katika uislam maana uislam ndio unafundisha hivyo
NdiyoKuna mwili wowote katika Dunia hii uliwahi kuzaliwa ukiwa hai bila ya nafsi?
Facthii minaaqasha ya Jf itakutoa katika mstari coz mwishowe utakuwa unatafuta hoja google. Qur-an inajitosheleza
ku hizi nimejiweka pembeni na mada hizi za kidini kiukweli,Bingwa una muda mwingi sana wa kuchezea...
Yesu aliwahi kuongea kiarabu?Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Kwani mungu mwenyewe anasemaje?Mungu wa Yesu ndio Mungu wa mtume Muhammad na ndio Mungu wa waislam na jina lake ni Allah
Ila Mungu wa wakristo ni tafauti
Wakristo Wengine Mungu wao Yesu
Wakristo Wengine Wana Mungu 3
Wakristo Wengine Mungu wao ana mtoto anaitwa Yesu
Mkuu, nasubiria nondo zako!Ngoja nifikirie kama unavyofikiri ww.
Sawa Yesu alimwita Allah.
Kwahiyo Mungu wa Mtume Mohamed ndio huyo huyo Mungu wa Yesu.
Na ndio Mungu wa Wakristo na ndio Mungu wa Waislamu.
Kwa bahati mbaya mliyonayoWaislam achaneni na Biblia na Ukristo. Hangaikeni na Kuraan inatosha
Vinavyo zaliwa mfuLete ushahidi ni kiumbe gani kilizaliwa kikiwa na mwili bila ya nafsi