Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake

Ushasema Biblia

Then unasema kiarabu

Biblia haitambui kiarabu itatambuaje allah

Nyie vipi
 
Wajinga tu ndio wanahangija na lugha kuhalalisha imani , hiyomi lugha tu ni kama wewe unavyo muita mungu kwa kimatumbi.
 
Uongo, uzushi, uzwazwa, kutapatapa, ujinga, kuishiwa, ushirikina ad infinitum.
 
We jua hakuna kiarabu kwenye Biblia period

Msitake kulazimisha mambo
Sasa jibu swali

Biblia ipi kati ya maelfu ya biblia tofauti? KJV, NKJV, Douay, AV , NI V, Queen James Version, Satanic Bible au maelfu ya biblia tofauti?
 
Sasa jibu swali

Biblia ipi kati ya maelfu ya biblia tofauti? KJV, NKJV, Douay, AV , NI V, Queen James Version, Satanic Bible au maelfu ya biblia tofauti?
Hakuna kiarabu kwenye biblia kobazi we pambaneni na kiarabu chenu na allah wenu si hatumtambui
 
Hakuna kiarabu kwenye biblia kobazi we pambaneni na kiarabu chenu na allah wenu si hatumtambui
Si kipo kisukuma na kinamtambua Yesu msukuma au vipi ?

Sasa jibu swali

Biblia ipi kati ya maelfu ya biblia tofauti? KJV, NKJV, Douay, AV , NI V, Queen James Version, Satanic Bible au maelfu ya biblia tofauti?
 
Mpe elimu huyo mtoto mdogo
 
Allah ni kiarabu, Yesu alikuwa anaongea kiarabu?
 
Elloi ,Elloi lamma sabbakhtani , hiyo ni lugha ipi ?
"Elloi, Elloi, lamma sabbakhtani" is Aramaic, a Semitic language. It's a phrase famously spoken by Jesus on the cross in the New Testament, meaning "My God, my God, why have you forsaken me?"
 
"Elloi, Elloi, lamma sabbakhtani" is Aramaic, a Semitic language. It's a phrase famously spoken by Jesus on the cross in the New Testament, meaning "My God, my God, why have you forsaken me?"

kwani biblia original iliandikwa kwa lugha gani ??
 
kwani biblia original iliandikwa kwa lugha gani ??
The original texts of the Bible were written in three main languages:
Old Testament: Primarily Hebrew, with some portions in Aramaic (especially in books like Daniel and Ezra).
New Testament: Primarily Koine Greek (a common form of Greek spoken during that period).
 

Jee kama new testament iliandikwa kwa Kigiriki jee mungu kwa kigiriki anaitwaje ? na jee Yesu akiongea kigiriki ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…