Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake

Mungu kwa Kigiriki ni Theos
Yesu hakuongea Kigiriki

Kwa hivyo wao yesu humuita ni theos ? kama hakuongea kigiriki inakuwaje tena tukaambiwa , Eloi Eloi lamma sabbakhtani ni mungu wangu mungu wangu na isiandikwe Theos theos lamma sabbakhtani ?
 
Kwa hivyo wao yesu humuita ni theos ? kama hakuongea kigiriki inakuwaje tena tukaambiwa , Eloi Eloi lamma sabbakhtani ni mungu wangu mungu wangu na isiandikwe Theos theos lamma sabbakhtani ?
Nimetaja Yesu hapo?
 

@daraja la kigamboni​


Naona unaanza michezo ya kijahili , au ndivyo ulivyofundishwa kanisani kwenu kuwa quote watu na kuwaingizia maneno ambayo hawajaandika ??

kuwa mstaarabu kama ulivyoanza , shetani asikupande kichwani . Au kama ndiye roho mtakatifu wenu alivyokuongoza , sawa tu mkuu

​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…