Habari.
Nimeamgalia Press Iliyofanyika Baadae Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns Hapa Kupitia Azamsports 2. Ukweli Waandishi Wa Habari Wa Hizi Blog Na Media Nyingi Imeonesha Inauwezo Mdogo Na Elimu Ndogo Katika Sector Hiyo Ya Habari.
Ukiachana Na Lugha Ya Kiingereza Kuwa Tatizo Kwao Pia Elimu Ni Ndogo Kwa Maoni Yangu Naona Wanaufinyu Wa Maarifa Kwenye Upande Wa Habari.
Hizi Press Waandishi Wa Habari Nawapa Rahi Ya Kupitia Interview Za Walioendelea Kujifunza Kuuliza Maswali Kila Kitu Kina Template Za Hizi Press Za Michezo Na Mashindano.
Watanzania Tuache Uvivu Wa Kusoma Maana Ni Aibu Pale Tunapoonesha Ujinga Wetu Mbele Za Watu.
Kuboresha Sector Ya Habari Ianze Kwa Waandishi Wa Habari Wenyewe Kwanza Kuongeza Maarifa Na Mambo Mengine Yatafata.
Ila Ukweli Kwa Press Ya Leo Ya Baada Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns, Waandishi Wa Habari Mmetutia Aibu.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu