vvvv
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 406
- 717
Elimu ni tatizo,watu kama Warusi,Germans na wengineo English siyo lugha yao,hata makocha wengi kama Robetinho haongei English vizuri lakini anapojibu unaona English mbovu lakini anachoongea kina mantiki, sasa hawa waandishi wetu tatizo siyo lugha tu wanauliza upuuzi tu usio na maana.Sio waandishi wa habari tu sector zote... Mbona madaktari wanapasua wagonjwa vichwa baada ya miguu🙄🙄. Afu kiingereza sio lugha mama yetu. Hatuitaki asee.