inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Watu wameshupaa kupata A tu ili wapate vyeti, tuition zinafundisha kufaulu mtihani tu,wahitimu wengi siku hizi ni mabogusElimu ndio shida tutalaumiana sana ila kuwa na elimu duni Kuna waumiza sana watanzania Nina uhakika hata wewe kazi Yako japo sijui lakini unaifanya kwa kiwango Cha chini sana shida ni elimu na mazingira ya kazi
Tanzania ina watu wenye sifa za kuitwa waandishi wa habari wachache sana. Hawa wengine wote ni ''wajanja'' waliotumia ujinga wa wabongo kujiita waandishi kwa sababu wanajua kuzungumza kama cherehani. Hivi Maulid Kitenge yule unaweza kumwita ni mwandishi? Kwa kifupi siyo waandishi tu ila kila sehemu na fani ina vilaza wengi.Habari.
Nimeamgalia Press Iliyofanyika Baadae Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns Hapa Kupitia Azamsports 2. Ukweli Waandishi Wa Habari Wa Hizi Blog Na Media Nyingi Imeonesha Inauwezo Mdogo Na Elimu Ndogo Katika Sector Hiyo Ya Habari.
Ukiachana Na Lugha Ya Kiingereza Kuwa Tatizo Kwao Pia Elimu Ni Ndogo Kwa Maoni Yangu Naona Wanaufinyu Wa Maarifa Kwenye Upande Wa Habari.
Hizi Press Waandishi Wa Habari Nawapa Rahi Ya Kupitia Interview Za Walioendelea Kujifunza Kuuliza Maswali Kila Kitu Kina Template Za Hizi Press Za Michezo Na Mashindano.
Watanzania Tuache Uvivu Wa Kusoma Maana Ni Aibu Pale Tunapoonesha Ujinga Wetu Mbele Za Watu.
Kuboresha Sector Ya Habari Ianze Kwa Waandishi Wa Habari Wenyewe Kwanza Kuongeza Maarifa Na Mambo Mengine Yatafata.
Ila Ukweli Kwa Press Ya Leo Ya Baada Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns, Waandishi Wa Habari Mmetutia Aibu.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu
Yule mwandishi wa habari aliyeukoza swali la kikolo ndiye GENTAMYCINE yule.Nilikuwa najiandaa kuleta uzi wenye maudhui sawa na yako,Kwa kweli ni aibu tupu mpaka Gamondi anamshangaa muandishi wa habari Kwa aina ya swali alilouliza
Na kwenye kimombo sasa...
Hahahahaaa dah, ila nafikiri alieleweka na akajibiwaMwandishi anauliza swali eti
" You shall do what in South Africa?
Hivi kweli mwandishi mwenye degree utazungumza English mbovu namna hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Alimshangaa aisee! Hata mimi niliona Gamandio akishangaa swali lake!Du kama kweli gamond alimshangaa hiyo mwandishi basi aibu sana
Unakuta timu imefungwa halafu mwandishi anamwuliza kocha aliyefungwa "how do you feel ?"Aibu tupu kaka, mpaka Gamond anamuuliza mwandishi wewe ni journalist?
Tena issue ya Mzinze amemwambie huyo ni kijana mdogo NI hazina Kwa Tanzania na faida Kwa Tanzania ndio maana anampa nafasi.
Wana poor pronunciation, grammar, fluency, tensesHahahahaaa dah, ila nafikiri alieleweka na akajibiwa
Wewe unaweza au ushamba tuHabari.
Nimeamgalia Press Iliyofanyika Baadae Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns Hapa Kupitia Azamsports 2. Ukweli Waandishi Wa Habari Wa Hizi Blog Na Media Nyingi Imeonesha Inauwezo Mdogo Na Elimu Ndogo Katika Sector Hiyo Ya Habari.
Ukiachana Na Lugha Ya Kiingereza Kuwa Tatizo Kwao Pia Elimu Ni Ndogo Kwa Maoni Yangu Naona Wanaufinyu Wa Maarifa Kwenye Upande Wa Habari.
Hizi Press Waandishi Wa Habari Nawapa Rahi Ya Kupitia Interview Za Walioendelea Kujifunza Kuuliza Maswali Kila Kitu Kina Template Za Hizi Press Za Michezo Na Mashindano.
Watanzania Tuache Uvivu Wa Kusoma Maana Ni Aibu Pale Tunapoonesha Ujinga Wetu Mbele Za Watu.
Kuboresha Sector Ya Habari Ianze Kwa Waandishi Wa Habari Wenyewe Kwanza Kuongeza Maarifa Na Mambo Mengine Yatafata.
Ila Ukweli Kwa Press Ya Leo Ya Baada Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns, Waandishi Wa Habari Mmetutia Aibu.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu
Mimi shida yangu wala siyo English bali kuuliza maswali yenye weledi hata kama English mbovu lakini mtu anajuwa kichwani uko vizuri.Mwandishi anauliza swali eti
" You shall do what in South Africa?
Hivi kweli mwandishi mwenye degree utazungumza English mbovu namna hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda anayedhimika na hao anaowabong'olea.Sasa kama mtu kama juma lokole ni muandishi anaeheshimika unategemea nini?