GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,241
- 3,800
Waandishi wa habari wa bongo ni wakuda sana.
Wote wameufyanta mkio hakuna hata mmoja aliyethubuti kumtafuta Abdul na kumuhoji juu ya sakata la fedha za mama Abdul.
Wazee inabidi mbalansi story yenu kwa kumuhoji na Abdul pia baada ya kuwahoji Wenje,Lissu na Mbowe.
Walaji wa habari zenu wanahitaji kula na story ya Abdul ili washibe vizuri. Alaaaaaaaaaaaa!
Ebu aibuke mwandishi mmoja ambaye ni jasiri asiyekuwa na chembe ya uoga na uchawa amtafute Abdul na amuhoji kwa kina ili tujue ukweli wa hili swala la fedha za mama Abdul.
Wazee mbona waoga sana hahahahaaaa. Yaani kwenye hili mmeuchuna kimya kama hampo vile.