Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Kiukweli umeandika upuuzi tu haujaeleweka kabisa kwasababu lissu kamtaja abdul na wenje nae kamtaja abdul sasa hapo uzushi unatokea wapi?Sio kila uzushi ni wa ku balance,uzushi mwingine ni ukichaa, unaupiuzia tuu!。Mfano umepiga mechi ya mpira wa kona na timu ya ugenini,ukapiga tobo bao kimiani!, kumbe kipa kichaa,kwa hasira za kupigwa bao la tobo, akaamua kukuaibisha kuwa japo ni kweli mmecheza mechi na umepiga bao,ila wewe huna sunna!,je utaonyesha kuwa unayo sunna ili usiaibike?。
P