Waandishi wa habari mnapata wapi ugumu wa kumuhoji Abdul juu ya sakata la fedha za mama Abdul?

Fact
 
Hao waandishi wana akili kama zako, kama wewe umefahamu unafkiri kwa ufukunyuku wao wanafahamu mangapi yanayotokea katika Taifa hili...
Kila sehemu ya Dunia ina nyimbo zake,, sasa wewe unaleta Tanzania nyimbo za Marekani,, siye tutawatia ujinga Ndugu na FAMILIA yako kwa kukuita SHUJAA halafu utakuwa hujulikani ulipo kama kina SOKA ..
 
Wangekuwa makini ingetakiwa wamuhoji hadi mama yake Abdul.
 
Tena wamtumie Wanje maana kasema ni lafiki wa Abdul .
 
Sio kila uzushi ni wa ku balance,uzushi mwingine ni ukichaa, unaupiuzia tuu!。Mfano umepiga mechi ya mpira wa kona na timu ya ugenini,ukapiga tobo bao kimiani!, kumbe kipa kichaa,kwa hasira za kupigwa bao la tobo, akaamua kukuaibisha kuwa japo ni kweli mmecheza mechi na umepiga bao,ila wewe huna sunna!,je utaonyesha kuwa unayo sunna ili usiaibike?。
P
 
Muhoji Abdul achana na hizi ngonjera zako!
 
Si kweli mkuu, huu siyo uzushi bali ni kweli inayotolewa kwa lugha ya satire. Na wewe unajua ni kweli ila kama wazungu wanavyosema "a man is the prisoner of his own conscious" yaani binadamu ni mtumwa wa dhamira yake.

Paskali dhamira inakuhukumu, husikii amani moyoni kusikia tuhuma kwa Abdul na mama Abdul. Kwa amani ya moyo wako lazima u 'rubbish' .

Itatokea na atatokea mwenye guts atahoji, wakati waandishi mkiwa mnajitafakari aidha kwa maslahi au wasiojulikana bora tukae kimya tusubiri
 
Kwanin wasimuhoji mama yake ?
 
Umeongea kitu cha msingi sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…