MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Endelea kulea mimba hiyo wee mama..Kila nikiangalia madaktari na manesi wanavyopambana na " kirusi" cha Corona pale UK nimeanza kuamini zipo kazi zinazohatarisha maisha.
Utangazaji ukiwa fair hakuna hatari yoyote!
Hata Mimi nimewazua hivyo hivyo nafikiri Kuna Jambo.Vipi mkuu, kuna ujumbe wowote uliopokea siku za hivi karibuni??
Binti una hasira sana!Endelea kulea mimba hiyo wee mama..
Eti ukiwa fair..fair kwa nani? Kwa bwanako meko.
Jinga kabisa.
Katabaro alikuwa kwenye utawala huu? Yule aliyepasuliwa jicho je?Ukiwa mwandishi kwenye utawala huu bora ujipumzikie usubiri utawala mwingine ni ushauri tu maana utabaki kuandika habari za kumfurahisha mtu