Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...

Mkuu Mwanamageuko , karibu pande hizi, ili ushuhudie utetezi wa haki, sikuanza leo!.
P.
 
Mkuu Masanja , kwanza asante na karibu pande hizi.
P.
 
IJ ni sehemu ya Intelligence ya ya nchi, kwa nchi za wenzetu hawa ni watu muhimu ambao wanajitegemea nakuusaidia mfumo wa ulinzi wa nchi.Natamani nchi yetu ianze kuwatumia. Hawa IJ ni Golden boys, kuwatisha na kuwapoteza ni hasara kwa Taifa
 
His personality and appearance speaks louder than words!
Personality yake naona kama iko decent sana. (Kama ndio huyo alovaa barakoa.Ni mtu mzima flan mwenye hekima zake he cms tofaut na matendo yanayoelezwa kufanywa na yy)
 
IJ ni sehemu ya Intelligence ya ya nchi, kwa nchi za wenzetu hawa ni watu muhimu ambao wanajitegemea nakuusaidia mfumo wa ulinzi wa nchi.Natamani nchi yetu ianze kuwatumia. Hawa IJ ni Golden boys, kuwatisha na kuwapoteza ni hasara kwa Taifa
Whay is IJ mkuu, sorry..
 
JF IIinyongwa na Magufuli na mlishangilia sana including you. Wewe ulibaki hai kiuandishi kwa sababu ulikuwa side ya opressor.
Mkuu kamili, hivi kweli mtu aliyeandika bandiko hili alishangilia ?.

P
 
MEI 3 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa vyombo vya habari, Mimi Pascal Mayalla, kwa niaba yangu kama mwanahabari na kwa niaba ya kampuni yangu ya PPR as chombo cha habari, niwatakie wanahabari wenzangu wote, maadhimisho mema ya siku hii, huku nikidurusu, niliwahi kusema nini kuhusu uhuru wa habari Kwa media za Tanzania yetu.

Nawatakia uhuru wa habari mwema.
Paskali.
 

Hivi Uhuru wa habari ni kwa waandishi wa habari tu au hata wapokeaji wa hiyo habari ?..

Hivi kuna sheria inayomruhusu mwandishi wa habar kulinda chanzo chake cha habari (kwa sababu za kiusalama) ? hasa habari za kiuchunguzi ?, Na iwapo mwanahabari atapokea vitisho (Kuna sheria inayomlinda akiwa kazini ) ?
Pascal Mayalla
 
Hivi Uhuru wa habari ni kwa waandishi wa habari tu au hata wapokeaji wa hiyo habari ?..
Uhuru wa habari ni kwa waandishi wa habari na vyombo vya habari. Wapokeaji wa habari, pia wana sheria Yao na haki yao iitwayo Access to information Act, yaani sheria ya haki ya kupata habari.
Hivi kuna sheria inayomruhusu mwandishi wa habar kulinda chanzo chake cha habari (kwa sababu za kiusalama) ? hasa habari za kiuchunguzi ?,
Yes Mwandishi wa habari, ana haki ya kumlinda source wake wa habari, hii inaitwa "the confidentiality of the source", hivyo kwa kuanzia media inachapisha habari za uchunguzi Kwa kulinda jina la Mwandishi. Na media ikiandika too sensitive news, then Mhariri na Mwandishi, anakubali kwenda jela ili kumlinda source wake
Na iwapo mwanahabari atapokea vitisho (Kuna sheria inayomlinda akiwa kazini ) ?
Pascal Mayalla
Hakuna sheria specific ya kulinda waandishi dhidi ya vitisho kwa waandishi wa habari, bali vitisho kwa Mtanzania yoyote vinakuwa covered na vitisho vingine vyovyote.
P
 
Dah!...kazi ngumu na ya hatari sana hii, mnafanya kazi ya hatari sana kusema kweli, Mungu awalinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…