Tatizo la Tanzania siyo waandishi pekee. Ni la watanzania wengi.
Wanaojitambua hawafiki hata 2% .
Ndio maana:
- Mnyika anaweza kuwatetea mbele ya Kibwengo kwamba waliovunjiwa nyumba Kimara walipwe " Wakashangilia Kwa Fujooo"
Baadaye, Kibwengo anainuka anasema hatamlipa yeyote hata 100 !
"Wanashangilia Tena Kwa Fujoo Ndelemo Na Vifijo"
Tanzania Asilimia 98 Kwa Sasa Ni Takataka. Ndio Maana Jitu Liko Tayari Kununua Huduma au Bidhaa Au Kuchagua Kiongozi Kwa Kuwa Mtu Fulani Maarufu Kalipwa Pesa Aliambie Kitu Hicho ni Kizuri.
"Wanazuoni, Maprofesa, Wanahabari, Wanavyuo, Vijana, Wanasiasa, Viongozi Wa Dini, Wastaaft Wote TAKATAKA tu.