Waandishi wa Habari waliotembelea bandari Dubai

Wewe utakuwa mjinga....

Wawekezaji wa migodini ni WAZUNGU....hawajatuangamiza?!!!

Aje mwarabu ,mzungu ,mchina ,mhindi mwekundu....tutakacho sisi ni MAENDELEO makubwa zaidi ya WIZI UENDELEAO TPA......
umeona eeh, bora wakoloni wetu wa karne ya 14 warudi.
 
Wakili Bashir Yakub ana ajenda yake aijuayo.....

Mawakili ni "madalali"....leo anaushangaa udalali wa DB?!!! [emoji1787][emoji1787]

Wakili Bashir atuambie....mbona hakututajia WAANDISHI wa habari waliopelekwa MISRI wakawaangalie ARAB CONTRACTORS ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Je atatutajia na wale waliokwenda UTURUKI kwa Yerpi ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787]

Wala wakili hajakuja na jipya....bali mwendelezo wa "tarnishing other people's image".....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Kumpa mwandishi credit ni uzalendo!!
 
Ni kucheka na kufurahia

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437]

Mtasaga meno

Kazi iendelee...
Kumbe upo??[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwanini bandari ya Zanzibar msiimpe mwarabu au hamtaki faida
 
Imetengenezwa PROPAGANDA ya chuki dhidi ya mh.Rais SSH....wanajulikana walioko nyuma ya hayo.....ni ubaguzi tu....ni kukatwa tu "mirija " yao....kifupi si mapya.....

#SiempreJMT[emoji120]
Mwenye mawazo tofauti na raisi anabandikwa hoja ya ubaguzi,Raha yenu wote tuwe chawa wa mama kama ulivyo wewe?
 
Na waliwaseti vizuri sana. Ni kweli sio rahisi kukupeleka sehemu zenye changamoto lazima watawpalpeti km hivyo Binti mdogo anabonya kompyuta kontena Hilo hapo.
 
Jambo hili nalifananisha na sakata la DOWANS ,kwa waliokua wamepevuka muda ule , LOWASA aliachia uwaziri mkuu kwa sababu ambazo ni very classfied na alibeba mzigo usio wake, ni kweli kimajukumu anahusika yaan lowasa lakini kiuhalisia hakua yeye.
Suala la bandari watu wamechezesha kete za kisiasa , Rais kwa nia njema kabisa , pasipo chembe ya shaka , nimethibitisha ,hakua na hana nia ya kuingiza nchi matatani.
Lakini sasa , kuna kundi maalumu la wanasiasa wako nyuma ya pazia , wana remote control matukio haya , na kuingiza nyongo kwenye kila project kubwa ili wampigishe ajali Rais Samia .
Nasikitika sana kwa sababu sio jambo jema na linaelekea kutupotezea kiongozi mkubwa sana wa nchi soon, lakini sio Rais
 
Kama mchezo huu kama Taifa sige na ataki kuzeeka awapo, kweli?
 
je wewe uliyeandika haya ni nani kakudhamini uandike haya?
 
Hili la awaandishi kuhonhwa kuteyea DP World sina mashaka nalo katika vitu nisivyo kuwa na mashaka navyo ni hili la kuhonga Waandishi.

Kwa staili ya Waandishi na Watangazaji walioko Tanzania kwa sasa kuwahonga ni sawa na kusukuma mlevi, tuna levo ya Watangazaji na Waandishi ambao ni weupe mno vichwani wanao jua tpic za Yanga na Simba na Maada za kufumaniana tu, Watangazaji levo ya Wakina Maulid Kitenge unategemea nini?

Sasa ni bora tukapata Orodha yao walio alikwa kutembelea Dubai make tukisha wajua walio enda Dubai basi kazi imekuwa imeisha ya kujua walio hongwa na DP ili tuweka kumbukumbu sawa.

Ndio maana hakuna Media House hata moja inalipa kipaumbele hili swala la Bandari na laiti kusingekuwepo na Social Media hasa Jamii forum tusingekua lolote lile.
 
Nasubiria list
 
Yule zembwela na Maulid walienda Singapore na kuonesha Bandari ya Singapore inavyofanya kazi wiki mbili kabla ya hili saga nadhani nao wamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…