ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Nani huyo ??!!Tuthibitishe kama kweli ni mtanganyika halisi. Tujue jina la mke wake. Tujue majina ya watoto wake ili tuweze kujua kama kweli ni mkatoliki au alishabadiri imani yake kama inavyodaiwa.
Asanteni.π
Kwahiyo unaogopaKama wapekenyu wameshindwa kupekenya, mtu kawa, unataka kupekenya ili iweje?.
P
Hata Nyerere hakuwa mzalendouzalendo uliondoka na Nyerere
Naona itapendeza sana kama tuanze na utaratibu wa kupima DNA katika kila Familia hapa Tanzania πΉπΏ π³ !Vyombo vya kupenyenyua vipo, kama vimeridhia, sisi waandishi ni nani?.
Mfano mzuri ni huu, baadhi ya watu wa Kanda ya Ziwa, wenye uwezo wa jicho la tatu, wakimtazama tuu mtu machoni, unajua hii ni damu yetu au hii ni ya jirani!. angalia tarehe ya bandiko hili na nilisema nini humo GE2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli,
Nikaja kuuliza Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko? - JamiiForums
Misho nikashauri Ili kuepuka posibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu? - JamiiForums
Hii maana yake kuna vitu navijua lakini sio lazima kuvisema!, Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
Kama wapekenyu wameshindwa kupekenya, mtu kawa, unataka kupekenya ili iweje?.
P
Alikuwa Mzalendo sana tu ndio maana hakuwa Fisadi wala hakuwapendelea familia yake katika kuwapachika kwenye nyadhifa za Nchi !Hata Nyerere hakuwa mzalendo
Familia zitaparaganyika!, mfano sisi wenye jicho la tatu, kukiwa na mtoto wa magendo kwenye familia, jicho letu linaona!. Wanawake wanaakili sana, wakikupenda na kugundua wewe huwezi, ili wasikupoteze, huwa wanajiongeza!, mimi kuna kiongozi mmoja mkubwa tuu, amezaliwa mtoto wa pekee wa familia hiyo, baba anampenda sana mwanae, very proud, of his boy, kumbe in reality ni baada ya kuoana wakaishi miaka kadhaa bila kujaaliwa mtoto, mama akajiongeza, kikazaliwa kidume, baba anafurahi sana ni yeye!, yakija haya mambo ya DNA, si utapaganyisha bure familia!.Naona itapendeza sana kama tuanze na utaratibu wa kupima DNA katika kila Familia hapa Tanzania πΉπΏ π³ !
Hakuna haja ya kuogopa ogopa !
Ni kweli kazi ya IJ ni kupekenya, ila tunapaswa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, mfano ule ukweli wa yule Blaza wangu, ambao mimi naujua na niliusema hapa kabla hajawa, baada ya kuwa, huwezi kuusema tena, kwasababu ukweli huo ukibainika wakati mtu ameisha kuwa, ni ukweli ambao badala ya kujenga, utaparaganisha !, ndio maana nikasisitiza humuKama wapekenyu wameshindwa kupekenya, mtu kawa, unataka kupekenya ili iweje?
Nikadhani ndiyo kazi ya Wanahabari wabobevu wa Habari za Uchunguzi huwa wanapekenya na kupekenyua ili kutafuta ukweli uliofunikwa kwa sababu mbali mbali!
Mkapa mtu wa msumbiji na Nyerere alishupaa aweSema tu enzi hizi watu wanatanguliza matumbo yao, uzalendo uliondoka na Nyerere. Vetting ingefanyika ipasavyo hapo juu hakuna ambaye angepita, ila kwa kuwa inafanywa na uvccm basi tu!
Alikua mfia diniHata Nyerere hakuwa mzalendo
Inafikirisha kwa kweli.Eti wa habari za uchunguzi anaandika, "mtu huyo jina kapuni.....! Ahahahahaha!!
Hii ninakataa.Hata Nyerere hakuwa mzalendo
Kwaio kaka pascal CHATU AMERUDI KINYUME NYUME SHIMONI.Mtu akiishakuwa kiongozi, huwezi kumfuatilia tena, huko ni kuingilia his right to privacy, kama Chinga hakuzaliwa hapa na baba yake sio wa hapa, was vetted ok, na yule Blaza wangu pia hakuzaliwa hapa na baba yake sio wa hapa, was vetted ok, why huyu mumchunguze?.
Akiishakuwa ndio amekuwa na anaenda kuwa yeye!
P
Hapana, hajarudi kinyumenyume, amejinyongorota tuu kwenye prey, anajitayarisha kummeza alive, tukifanikiwa kumuua chatu kabla hajammeza, tutaokoa jahazi, tukichelewa, akimeza, ndio hivyo tena, namba 2 anakuwa 1!.Kwaio kaka pascal CHATU AMERUDI KINYUME NYUME SHIMONI.
Kwaio namba 2 anaenda kua yeyee
π€£π€£ kazi kweli Kweli ππFamilia zitaparaganyika!, mfono sisi wenye jicho la tatu, kukiwa na mtoto wa magendo kwenye familia, jicho letu linaona!. Wanawake wanaakili sana, wakikupenda na kugundua wewe huwezi, ili wasikupoteze, huwa wanajiongeza!, mimi kuna kiongozi mmoja mkubwa tuu, amezaliwa mtoto wa pekee wa familia hiyo, baba anampenda sana mwanae, very proud, of his boy, kumbe in reality ni baada ya kuoana wakaishi miaka kadhaa bila kujaaliwa mtoto, mama akajiongeza, kikazaliwa kidume, baba anafurahi sana ni yeye!, yakija haya mambo ya DNA, si utapaganyisha bure familia!.
P