Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

Kuna Kitu kimoja nakiona hakiko sawa Kwa Bashite japo hajawahi kuwa sawa vitu vingi ila hichi kimenishangaza zaidi!! Kama boss aliemteua keshamwakikishia Hana mpango wa kumtumbua haya mengine anahangaika nayo ya nini? Au nafsi inamsuta kwa anaowaongoza? Naona kama ingekuwa na tija kama angekuwa anafanya haya kumdanganya aliemteua ili asitengue uteuzi wake! Bashite acha kutumia hela za walipa kodi kwa miradi muflisi!!! Wananchi wote wanajua wewe ni mwizi wa cheti ila hapo uko kwa ajili ya ujeuri wa mtu mmoja tu!!
 
Sasa Waandishi wa habari ndo wanajua vyeti vyake vilipo?

Yeye mwenyewe kwa kupenda media analikuza hili jambo to the national level, matokeo yake anamcost aliyemteua maana kila raia sasa atajua kuwa pengine ana vyeti feki lakini hatumbuliwi!!! Na hii Wapinzani wataikomalia mpaka basi huko kwa wananchi!!
 
Ukitaka kuandika tangazo linatakiwa liwe na mwito (Buy me buy me and read me read me)
 
Inawezekana vip mtu kujiundia tume yeye mwenyewe kwa kuchagua ama kupendekeza wahusika ktk tuhuma zinazo mkabili yeye mwenyewe?
 
Yaani waandishi wa habari walipiwe na Mwenye tuhuma kwenda kuandika habari ya kiuchunguzi kuhusu mtu huyo huyo mwenye tuhuma?, Ni conflict of Interest na ni kinyume cha maadili ya uandishi wa habari!
 
Amesha chelewa maana tayari mch Gwajima Kesha maliza hiyo kazi mapemaaa
 
HIVI KUNA UGUMU GANI WA MAKONDA KUWEKA VYETI HADHALANI NA MAMBO YAKAISHA?
 
Sasa kama yote yako sawa anahangaika na nini huyu naye? Ya nini utumie gharama kubwa kiasi hicho wakati jibu lilikuwa hata haligahrimu hata TZS 5000? Ni kiasi cha kuweka scanned copies ya vyeti hapa vyenye jina la Bashite, Daudi Alubati unakuwa umemaliza mchezo au kama anathibitisha kwamba yeye ndo alipiga kitabu pale Pamba kwa jina la Paulo Kristian Makonda unavimwaga hapa jamvini unakata watu kilimilimi! Sasa eti upeleke waandishi 10 huko Koromije wa kazi gani? Lakini mbona ulioneshwa hapa mpaka nyumbani kwa mama Suzana pale Koromije kwenye gazeti la Mwanahalisi? Ina maana hao waandishi hawaamini?
 
Hakika huyu ni mwana kipenzi wa mfalme.

Kwahiyo ameandaa list ya watu wa kwenda kuhojiwa.
Na watu hao 'wameshajiandaa' kuhojiwa.
Hawa watu waache kutufanyia maigizo,huu ni upotevu wa rasilimali.
Anajichosha
 
Hakika huyu ni mwana kipenzi wa mfalme.

Kwahiyo ameandaa list ya watu wa kwenda kuhojiwa.
Na watu hao 'wameshajiandaa' kuhojiwa.
Hawa watu waache kutufanyia maigizo,huu ni upotevu wa rasilimali.
Na hapa mpumbafu hatakuwa Bashite bali wale waandishi watakaoenda hiyo ziara! Na kama kuzomewa waandishi na vyombo hivyo ndio vina deserve kuzomewa na kupuuzwa milele!
 
Kumbe unadharau hili jukwaa kwa senti anazokupa Bashite? Kumbuka hata Mtukufu malaika huwa anajifunza kupitia mtandao huu, unakumbuka kosa alilofanya kwenye teuzi za wabunge likasabbisha yule NW Possi akatenguliwa ubunge na kupewa ubalozi?
Mitandao ina nguvu inapotoa tuhuma za kweli na ina nguvu na inafaa sana kwa demokrasia endelevu ni uwanja mzuri wa mtu mmoja mmoja kutoa maoni yao.
 
Acha matusi dogo... Sasa mbona unayemtetea anataka kuandaa video na audio kutoka koromije ili ajitetee...wewe povu la nini? Mshauri aoneshe vyeti vyake kwa waziri wake badala ya kupeleka waandishi koromije... Acha akili za kutaga.
Kabla hajatengeneza sinema yake si muende mahakamani?
 
Cheti hana sabb ya kuzungusha!, ka kwara cheti cha mtu kaendelea mbele tena kimkanda2, bila ya sitta na Riz isingewezekana maana ana maneno mengi mdomoni lakini shule sifuri, neno "Petroleum" anaandika "Petrolium"
Inampunguzia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…